Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

kwani tatizo ni magufuli la hasha tatizo ni watu wanaomzunguka na mfumo wa serikali yake ndo shiiiiiiiida kwelikweli
 
Hakuna mwenye uwezo wa kumjibu Slaa nadhani wengi wetu hatumjui Slaa wala hatuijui Chadema.
 
Mheshimiwa Mbowe we mpotezee tu wananchi tulio wengi tunaelewa na maamuzi tunayo watusubiri oct
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

Magufuli alipoitaja Libya nilifikiri aliteleza tu, kumbe ni msimamo wa chama? Hivi kweli hamjui chanzo cha vurugu za Libya? Ghaddafi aliondolewa kwa sanduku la kura na wapinzani? Acheni kutisha na kupotosha wananchi
 
Mheshimiwa Mbowe we mpotezee tu wananchi tulio wengi tunaelewa na maamuzi tunayo watusubiri oct

Dr Slaaa ni wa kupuuzwa...jiulize angekuwa rais hii nch ingeongozwa na yeye au first Lady
 
i think you are not too Bright! CHADEMA wako makini sana na walijua tangu mwanzo kwamba Dr. ataongea tu..lazima wanazo facts za kujibu. Tayari Tundu Lisu keshajibu hizo tuhuma. Acha CHADEMA isonge..ilete ukombozi. CCM oyeee!

Huyo tundulisu kajibu nini? Sijaona hoja ya maana aliyotoa, anatapatapa tu
 
Huijui Chadema zaidi yetu. Nakwambia kuwa hakuna cha umakini hapo. Tundu Lissu kafokafoka tu hajaongea kitu cha maana jana. Tunamsubiri huyo Mwenyekiti aende na ajibu hoja.

Unataka watu waongee yale unayotaka wewe. Hiyo siyo democracy . na haujakomaa kisiasa
 
Siasa mchezo mchafu.
Ebu tafakari kwann afunguke sasa baada ya mambo kupamba moto chadema .
Mtu kujiamini kiasi kile sio issue ndogo .tuwe makin huku tuendapo.#@!

Dr Slaa alijiamini siku zote. Labda kama wewe ni mgeni kwenye siasa za Majukwaani za Tanzania.
 
Magufuli kama Magufuli ni msafi kabisaaaa, hana doa lenye madhara kwa taifa! Doa alilonalo labda ni Magufuli kuwapo ktk mfumo. Ila kwa mzee wa Richmond, yeye mdo symbol ya ufisadi nchi hii. Ni mchafu yeye na sasa mfumo uliompokea yeye na mzee wa hanang na ndugu zao wengine ni wachagu!
Toka ukawa waanze kampeni, neno rushwa na ufisadi halitajwi.

Wewe ni mtu WA ajabu sana kumwita binadamu mwenzako hana doa,ye MUNGU?kwangu mimi MV DAR ES SALAAM,ishu ya wale wavuvi WA samaki,barabara mbovu,nyumba za serikali,lile lihoteli,n.k ni madoa Tosha kabisa.
 
Wangempotezea.Huyu Slaa anataka majibizano wakati watu wapo katika kampeni.

Nguo imevuka kampeni ya nini sasa kaaeni chini mtatue shida zenu za waTz hamuwezi kwa wakati huu.
 
Huyo tundulisu kajibu nini? Sijaona hoja ya maana aliyotoa, anatapatapa tu

huwezi kuona hoja Kwan hata babu hakuwa na hoja zaidi ya kuja na propaganda zile zile za kijani.Ni aibu sana kuimplicate matatizo yote ya nchi hii kwa Richmond na lowasa wkt mchawi wetu na mawakala wake TUMESHAWAJUA,hakika ni UKAWA/LOWASA TU ndio watakaotutoa hapa
 
Kutoka useja mpaka katerero huwezi baki mzima, lazima utachanganyikiwa tu! Babu mzima ovyo.
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

Kashfa hazifanyikazi, MTU hachaguliwi kwa utakatifu wakujifanya, but because of he is abilities,. Tumechoka na ccm toka Uhuru! Tuangalie hata mfano kenya. Hatuweze kuendea kwa huu Mfuko wa chama dola
 
Mbowe hana hata 10% ya ubavu wa kumjibu dr slaa

Wewe mtu akusaidie kukujengea hata nyumba ya kuishi halafu useme hana ubavu wa kukujibu? Anao uwezo hata wa kumwambia mkeo nipelekee taulo bafuni.
Usilete dharau wewe!
 
i think you are not too Bright! CHADEMA wako makini sana na walijua tangu mwanzo kwamba Dr. ataongea tu..lazima wanazo facts za kujibu. Tayari Tundu Lisu keshajibu hizo tuhuma. Acha CHADEMA isonge..ilete ukombozi. CCM oyeee!

hakuna mtu muongo kama tundu lisu huwa anajifanya anajua kila kitu kumbe na yy ndo wale wale tumbo mbele uzalendo baadae
 
Dr. Slaa kilichokuwa kina mbeba ni kelele za mafisadi...mara fulani fisadi, yule fisadi. Na mpaka sasa bado anataka tuendelee kuaminishwa mahubiri yaleyale ya fisadi mmoja mmoja. Tatizo la hii nchi sio fisadi mmoja mmoja, ni mfumo. Hii CCM hata yeye Slaa angebaki kule leo angekuwa fisadi tu.

Wanaodai tangu kuanza kwa kampeni Chadema hawajaongelea ufisadi, pale jangwani Sumaye hajasema kuhusu ufisadi hadi wa meli ya Dar kwenda Bagamoyo ilozinduliwa kwa mbwembwe kumbe mbovu na kuukuu.

Muda huu ni muda wa kumwaga sera, sio kuhubiri yaliyopita.
 
Back
Top Bottom