Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,620
- 21,155
Hivi ni jipya lipi aliloongea Dr Slaa zaidi ya kumshambulia personally Mr Lowassa? mimi nilidhani angekuja na habari mpya (kwa mfano jinsi labda ya CHADEMA walivyokuwa wanafuja hela za ruzuku etc etc). Lakini kuwaambia Lowasaa ni fisadi wakati huo wimbo umekuwepo almost miaka minane sasa sio move nzuri. Viongozi wa UKAWA wangempuuza mtu.
Mtu mwenyewe kumbe anaendeshwa kwa remote na mamaa Josephine
Mtu mwenyewe kumbe anaendeshwa kwa remote na mamaa Josephine