Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

Magufuli kama Magufuli ni msafi kabisaaaa, hana doa lenye madhara kwa taifa! Doa alilonalo labda ni Magufuli kuwapo ktk mfumo. Ila kwa mzee wa Richmond, yeye mdo symbol ya ufisadi nchi hii. Ni mchafu yeye na sasa mfumo uliompokea yeye na mzee wa hanang na ndugu zao wengine ni wachagu!
Toka ukawa waanze kampeni, neno rushwa na ufisadi halitajwi.

mwe! chacha we uko unadhani hata huyo bwana chijui magufuli akiwa raichi wa nchi baraza la mawaziri litakuwa na chura mpya?. chi zitakuwa chura zile zile na mijitu ile ile tu baba?. mwe! n'jomba n'tu naachia laini
 
Hii ni plan C ya chama na hapo ndio mwisho,Lowasa ni rais wetu na hotuba ya changudoa haitubadilishi msimamo wetu,Plate number ni yenu mwaka huu.
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.,na sis tunasema,whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not ccm only. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyee,,
 
Viongozi wa ACT wazalendo mje na kadi za kutosha huku Arusha...

Please msizisahau!!
 
Magufuli kama Magufuli ni msafi kabisaaaa, hana doa lenye madhara kwa taifa! Doa alilonalo labda ni Magufuli kuwapo ktk mfumo. Ila kwa mzee wa Richmond, yeye mdo symbol ya ufisadi nchi hii. Ni mchafu yeye na sasa mfumo uliompokea yeye na mzee wa hanang na ndugu zao wengine ni wachagu!
Toka ukawa waanze kampeni, neno rushwa na ufisadi halitajwi.

Mfumo ndo umetufikisha hapa tulipo.
 
Dokta kasema ccm ni chafu Ukawa wamebeba uchafu kidogo na kuuleta kwao.Sisi wapiga kura tumpe nani kama wote wachafu? Mi nafikiri tuahirishe tu huu uchaguzi ili tutafute upya watu sahihi.
 
Dr. Slaa nakuheshimu na heshimu mawazo yako umenifundisha mambo mengi na ujasiri wa kufahamu na kujua haki yangu ila NITAKUPINGA siku zote kwa kushuka kwenye gari la MABADILIKO kisa dereva amebadilishwa.

Mimi nitakwenda na hili gari la mabadiliko mpaka mwisho wake.......!!!!!!!!!!

Nakutakia maisha mema nje ya siasa za vyama vya siasa.
 
Nilichogundua humu ndan zimejaa ID nyingi za mashabiki wa siasa na ni ID hizo hazina picha na kila unayo kagua bas ina post 10,80, 30 ,………… hawa huwa hajadili hoja wao utaona wanamtukana Lowasa.
 
Slaa alikuwa Mgombea 2010...alikuwa na Nondo ya kumshughulikia Lowassa na JK kwa nguvu zote ETI akaamua kukaa kimya !!!!???.. Dr Slaa amekuja kutoka SA na Ndege ya Kukodi, nani kamkodia hiyo ndege? Millioni 500 alizohongwa eti aka kata ilikuwaje akakaa kimya kwa muda wote hadi jana? Kukaa kwake kimya hakuvunja sharia za nchi? Kuwatuhumu Maaskofu bila Ushahidi ni sawa kisheria?
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

kwani sisi hatumkumbuki Nyerere? au unataka kuchagua chama kingine ni kupindua nchi,kama tuvyobadilisha watu kwenye nafasi ya urais ndivyo tunatakiwa kubadili vyama. na kwa nini utolee mfano wa Libya usitolee mfano wa marekani,uingereza ujerumani,zambia,msumbiji au Kenya?
 
i think you are not too Bright! CHADEMA wako makini sana na walijua tangu mwanzo kwamba Dr. ataongea tu..lazima wanazo facts za kujibu. Tayari Tundu Lisu keshajibu hizo tuhuma. Acha CHADEMA isonge..ilete ukombozi. CCM oyeee!
Hamna cha ukombozi wala nini. Kumbe ni maslahi binafisi tu. Hebu zungumzieni suala la ufisadi ambalo ni chanzo kimojawapo kinachoididmiza nchi hii. Eti sera isomwe kwenye mitandao. Yaani hata tafiti ndogo ya wangapi wanareach mitandao imewashinda jamani leo mpewe nchi? Seriously?
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

kwani sisi hatumkumbuki Nyerere? au unataka kutuambia kuchagua chama kingine ni kupindua nchi,kama tuvyobadilisha watu kwenye nafasi ya urais ndivyo tunatakiwa kubadili vyama. na kwa nini utolee mfano wa Libya usitolee mfano wa marekani,uingereza ujerumani,zambia,msumbiji au Kenya?
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

Acha Kufananisha Tanzania Na Libya Ni Mifano Isiyoendana Kabisa Umeshindwa Kuwekea Mifano Kenye, Zambia, Malawi, Kwa Nchi Zilizofanya Mageuzi Ya Kisiasa? Libya Gadafi Alijiweka Mfalme Sasa Huyu Magufuli Ninani Katika Historia Ya Dunia? Acheni Kujitoa Ufaham Jiandaeni Kisaiklojia Kwani Mnakwenda Kung'oka
 
Slaa alikuwa Mgombea 2010...alikuwa na Nondo ya kumshughulikia Lowassa na JK kwa nguvu zote ETI akaamua kukaa kimya !!!!???.. Dr Slaa amekuja kutoka SA na Ndege ya Kukodi, nani kamkodia hiyo ndege? Millioni 500 alizohongwa eti aka kata ilikuwaje akakaa kimya kwa muda wote hadi jana? Kukaa kwake kimya hakuvunja sharia za nchi? Kuwatuhumu Maaskofu bila Ushahidi ni sawa kisheria?

Tena kalala Serena na kabla ya kuongea alikutana na Mwakyembe aliyefika hapo Serena kwa kujificha jicha...hama kweli pesa ni sabuni ya roho. hadi Dr.Slaa kufikia bei??
 
Tulimwona Lipumba, aliuza magazeti kwa siku moja akapotea, Jana tumemwona Slaa naye atapita. Inaonekana bado hajajua kiwa wananchi hawana ugomvi na mtu bali wana ugomvi ccm kwa hiyo yeyote atakayekuja kuiondoa ccm madarakani lazima awe rafiki yetu tu.
Viva Lowassa
Viva Ukawa
Lowassa tutaendelea kukuombea ili wafitini wako wote waamini kiwa nchi hii sio ya ccm peke yake. Si wametuita sisi ni malofa ma wapumbavu, basi watajua lofa ni nani.
 
Aje na facts kama Dr. Slaa, sio propaganda za kipumbavu!!
Naona sasa watu chali, huku sisiemu B inapiga kampeni na viongozi waandamizi wa chadema wako bize kijaribu kuzima moto wa gesi kwa kuufunika na shuka!!
Chadema maslahi, MKUKI HAUZUIWI KWA PAZIA!
Nani kakwambia Dr Slaa alikuja na facts jana?
Hukumsikia Tundu Lissu alivyojibu jioni jana?
 
Tena kalala Serena na kabla ya kuongea alikutana na Mwakyembe aliyefika hapo Serena kwa kujificha jicha...hama kweli pesa ni sabuni ya roho. hadi Dr.Slaa kufikia bei??
Alinda naomba nitafute posta kuna sehemu wanauza mihogo na maharage tule tupate nguvu tukalikomboe taifa.
 
Last edited by a moderator:
Nini kipya kimezungumzwa na Slaa? kimaantiki alimkubali Mh Lowasa.. eti masharti yke hayajatekelezwa. sasa kama yangetekelezwa maana yake hayo anayosema yasingekuwepo.. masharti hayo hayakuhusu richmond, yanahusu kwamaba aje na watu kutoka ccm aliyotaka yeye na ataje majina yao (Slaa). Na kwa kuwa hakutekeleza hayo masharti basi slaa amekimbia. Kumbe ugomvi na Lowassa mpaka anajichimbia nuymbani kwako ilikuwa ni hayo masharti sasa hayo mengine yameongezwa na akina Mwakyembe. .. Sidhani kama kuna mashika hapa watanzania tukianza kutafutana hivyo hakuna atakayestahili.... Hivi Mangufuli akichambuliwa kwa hasara alizoleta kwenye taifa hili atatosha kweli?
 
Back
Top Bottom