Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

Mzee slaa amejivunjia heshima mwenyewe, alitakiwa kusoma alama kwanza siokukurupuka tu, angetulia tu asubiri mabadiliko kama anadhani chadema itayumba ajiulize zito alivyo timuliwa chadema ilikuwaje na sasa ikoje.

subir baada ya uchaguz ndo utajua chadema baada ya hao watu kutoka itakuweje na je lowasa ataweza kuzunguka nchi hii kama mpinzan kuikemea serikali ya maguful kama slaa alivyokuwa akiikemea ya kikwete?
 
hakuna mtu muongo kama tundu lisu huwa anajifanya anajua kila kitu kumbe na yy ndo wale wale tumbo mbele uzalendo baadae

Lisu mwongo ila Slaa ni mkweli. Lissu ni mwongo kwa kuwa kaeleza kuhusu slaa kumshawishi Lowassa kuja Chadema. Kwa hiyo wewe ndo unaujua ukweli ndo maana unamwita Lissu mwongo, au umeamini moja kwa moja alichoongea Slaa.

Kazi unayo.
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

Hivi wewe kati ya Lowassa na Magufuli nani mchafu zaidi!!? Ujenzi wa barabara mbovu nchini nani mhusika mkuu!!?

Ile pesa ya 262B iliyokuwa imerepotiwa na CAG kuwa matumizi yake hayaeleweki nani wa kuhojiwa wa Kwanzaa!!!?

Nyumba za serikali viongozi kujiuzia kiholela nani aliyesababisha deal kufanikiwa!!?

Baada ya kashfa ya Richmond ambapo Lowassa alimtaja mhusika ni nani... Aliyetajwa kasema lolote au kapiga kimya!!?

Je, baada ya kashfa ya Richmond zimeibuka Madhya Pradesh ngapi nyingine kubwa zaidi ya hizo!!? Ushawahi kusikia hata siku moja magufuli kainua mdomo wake kuoneshwa anachukizwa kwa hilo!!?

Trust me kama kipimio cha usafi CCM ni Magufuli basi El ni malaika
 
It is very true.

Lengo kuu la Dr Slaa na 'wafadhili' wake wa Sisiem ni kutaka kudivert attention ya Umma wa watanzania kutoka kwenye azma yao ya kuleta mabadiliko ya kuing'oa CCM madarakani ifikapo Oktoba 25 mwaka huu kupitia sanduku la kura na badala yake wanataka yageuke ni malumbano ya baina ya Ukawa vs Dr Slaa.

Kufunguka kipindi hiki cha kainaonyesha dhahili jazba ya kukosa kuteuliwa kugombea urais. Nawashsuri viongozi wa ukawa waachane nae. Tuhuma za uchafu wa lowasa zinatakiwa kijibiwa NA CCM.
 
Naona vita rasmi vya makamanda vimeanza daah!! Pesa hizi hatari sana.
 
Mimi wote naona wezi tu acha na wenyewe wakaibe Sana watuachie machimo alafu sisi na vizaz tutayaendeleza
 
Ccm kiboko haya yote hayatokei kwa kubahatisha imeonyesha ni jinsi gani ccm kilivyo chama dume
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
Walibya waliishi maisha ya Raha, watanzania Tunateseka.
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late
Siamini siasa za kutuhumiana. haziwajengi watanzania kuwa wa moja. Dola ipo na inaacha tuhuma za Richmond kuwa ndio agenda. Tunasahaulishwa na madudu ya ESCROW, EPA na mengi. Waseme hoja sio historia ya kuonyeshana vidole Kwa maslahi binafsi.

Watuhumiwa wote wa ufisadi wapelekwe kwenye vyombo vya sheria ili haki itendeke. Mambo ya kutafuta umaarufu kwenye majukwaa halisaidii nchi na watanzania Kwa ujumla.
 
Na wakithubutu kujibizana na Dr. Slaa ataweka mambo yote hadhalani na issue itaingia mchanga huku ccm ikipeta ki ulaini kabisa.

Intelligence is like underwear, it is important that Dr should have it, but not necessary that he shows it off

In politics,nothing happens by accident.If it happens,you can bet it was planned that way!!UKAWA and CDM believe me wanalijua na watalitolea ufafanuzi,kubwa la kusema ni kuwa Dr Slaa,anajaribu kuzima moto wa mabadiliko kwa kutumia mafuta ya petrol.Sasa anajikuta amechochea zaidi na amepuuzwa!!
 
Aje na facts kama Dr. Slaa, sio propaganda za kipumbavu!!
Naona sasa watu chali, huku sisiemu B inapiga kampeni na viongozi waandamizi wa chadema wako bize kijaribu kuzima moto wa gesi kwa kuufunika na shuka!!
Chadema maslahi, MKUKI HAUZUIWI KWA PAZIA!

Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu.

Andika hapa facts alizosema Dr. Slaa na namna ulivyodhithibisha kwamba ni facts!.

Ukinyamaza unaficha mihemuko na hofu yako ya kuanguka vibaya kwenye uchaguzi.

BTW, have you noted that Dr. Slaa hajawasaidia lolote kwenye mtumbwi wenu unaozama na badla yake ameongez apetrol kwenye moto wa mabua?

Poleni sanalakini hamna namna zaidi ya kuukubali ukweli. Kufa lazima mfe. Mazishi ya ccm ni tarehe 25 October.
 
Dr Slaa ameeleweka kama CDM watajifanya kujibu wataongeza kinyesi kwenye mataputapu yao walioyatengeneza wenyewe
 
i think you are not too Bright! CHADEMA wako makini sana na walijua tangu mwanzo kwamba Dr. ataongea tu..lazima wanazo facts za kujibu. Tayari Tundu Lisu keshajibu hizo tuhuma. Acha CHADEMA isonge..ilete ukombozi. CCM oyeee!

Mie naona hizi ni siasa za ki scientific, na anayefaidika ni Lowasa pekee, Kwani waasisi was chadema wakatika wakirushiana makombora na mpasuko ukatokea, Edo anazidi kupachika watu wake ndani ya campaigne yake, hivi sasa team anayotembea nayo ole aliokuja nayo
 
Aje na facts kama Dr. Slaa, sio propaganda za kipumbavu!!
Naona sasa watu chali, huku sisiemu B inapiga kampeni na viongozi waandamizi wa chadema wako bize kijaribu kuzima moto wa gesi kwa kuufunika na shuka!!
Chadema maslahi, MKUKI HAUZUIWI KWA PAZIA!

Dr kaja na facts gani?!? Facts zinakuwa na evidence. Zile zilikuwa porojo tu!
 
Dr slaa kiukweli ameongea kwa uchungu na hisia kali, watanzania tuitendee haki nchi yetu, tumpe kura magufuli, hana kashfa nzito kama za lowassa, nawaomba sana tusiikomoe nchi yetu, walibya leo hii wanajuta, walidanganywa hivihivi, utajiri na amani yao yote imetoweka, wanamkumbuka gadafi wao and it is too late

Shida sio Magufuli! Shida ni chama alichopo na kilipo ifikisha nchi yetu!
 
Acheni upuuzi nyie, Slaa alishiriki kwa kila jambo kwahio hawezi kujivua lawama kwa namna yoyote ile. Ni lazima mjifunze kufikiri nje ya boksi
 
Back
Top Bottom