Baada ya ATCL yetu sasa ma-snitch kuhamia Stieglers Gorge!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Hata Ndege zetu walianza hivi hivi mwishowe tukasikia Muzungu amezishika, hivyo muda siyo mrefu mtasikia watu wa wildlife, watunza mazingira na wanyama mpaka hata UN wakipinga sisi kujenga Stieglers, adui yetu tunaye humu humu nchini, tena na sasa hivi snitch namba moja wamempa Uongozi wa ma-snitches TLS, sasa hivi wanaandika mabarua tu kwa Muzungu kuelezea na kupinga sisi kujenga Bwawa la Stiegler, MW 2000 si mchezo ni lazima watu wachanganyikiwe, subirini mtasikia, ...
 
Tatizo la baadhi ya watanzania, wameshindwa kujua katika dunia ya mashindano na maslahi kama ya leo, utaifa utangulizwa mbele. Na hawajui kwamba serikali(na siyo taasisi au taasisi zote) za nchi za Ulaya utumika kuendekeza unyonyaji kupitia makampuni makubwa ya wazungu.
 
Hata Ndege zetu walianza hivi hivi mwishowe tukasikia Muzungu amezishika, hivyo muda siyo mrefu mtasikia watu wa wildlife, watunza mazingira na wanyama mpaka hata UN wakipinga sisi kujenga Stieglers, adui yetu tunaye humu humu nchini, tena na sasa hivi snitch namba moja wamempa Uongozi wa ma-snitches TLS, sasa hivi wanaandika mabarua tu kwa Muzungu kuelezea na kupinga sisi kujenga Bwawa la Stiegler, MW 2000 si mchezo ni lazima watu wachanganyikiwe, subirini mtasikia, ...
We waache na unafiki wao. Walituambia tukawakatalia tumelipa mibilioni mara kadhaa zaidi. Sasa ngoja hata sasa wataaibika!
 
Hata Ndege zetu walianza hivi hivi mwishowe tukasikia Muzungu amezishika, hivyo muda siyo mrefu mtasikia watu wa wildlife, watunza mazingira na wanyama mpaka hata UN wakipinga sisi kujenga Stieglers, adui yetu tunaye humu humu nchini, tena na sasa hivi snitch namba moja wamempa Uongozi wa ma-snitches TLS, sasa hivi wanaandika mabarua tu kwa Muzungu kuelezea na kupinga sisi kujenga Bwawa la Stiegler, MW 2000 si mchezo ni lazima watu wachanganyikiwe, subirini mtasikia, ...
CAG amezipitia kweli hizi Bomba
 
acha kulialia chama chenu kilitulaghai na umeme wa gesi, tumishawekeza matrilioni kwenye miundombinu ya gesi
 
Siku bwawa likikamilika sitaona mabaya ya magufuli. maana hapo ndio uchumi wa viwanda umesimama Kwenye Umeme wa bei rahisi
 
Mie naona yote afya, kuulizwa maswali siyo uchawi au kuchukiwa, ni fursa ya kuwanyamazisha ma-snitches..
 
Tuna mijitu mijinga sana nchini kwa vile yenyewe yanakula ruzuku na yameona siasa ajira basi ni kuropoka tu. Yapo bungeni hakuna thamani yanayoongeza nchini ni kukurupuka tu na kukosea serikali... kila kitu yanapinga yakidhani yanaweza kufanya lolite yakipewa nchi. Pia kuna mengine ni kuitikia ndio ndio na kugonga meza.
 
Hata Ndege zetu walianza hivi hivi mwishowe tukasikia Muzungu amezishika, hivyo muda siyo mrefu mtasikia watu wa wildlife, watunza mazingira na wanyama mpaka hata UN wakipinga sisi kujenga Stieglers, adui yetu tunaye humu humu nchini, tena na sasa hivi snitch namba moja wamempa Uongozi wa ma-snitches TLS, sasa hivi wanaandika mabarua tu kwa Muzungu kuelezea na kupinga sisi kujenga Bwawa la Stiegler, MW 2000 si mchezo ni lazima watu wachanganyikiwe, subirini mtasikia, ...
Sasa mbona ndege zenyewe mbovu? Mbona zimetupwa huku Mwanza zinaoza?
 
Tuna mijitu mijinga sana nchini kwa vile yenyewe yanakula ruzuku na yameona siasa ajira basi ni kuropoka tu. Yapo bungeni hakuna thamani yanayoongeza nchini ni kukurupuka tu na kukosea serikali... kila kitu yanapinga yakidhani yanaweza kufanya lolite yakipewa nchi. Pia kuna mengine ni kuitikia ndio ndio na kugonga meza.
Yale yaliotetea escrow nayo sasahivi yamejificha sijui wapi yalitetea ufisadi wa escrow sasa hivi yamejificha na kugeuka na huenda na wewe ukawemo kwenye kutetea ufisadi yani Mwaka mmoja tumepigwa za uso one point five je hadi miaka kumi hilo Deni la taifa na hizi za trillion najua mwakani utazikana Kama ulivyotetea za escrow kipindi kile sasahivi unashabikia kuwa wamekamatwa
 
Hata Ndege zetu walianza hivi hivi mwishowe tukasikia Muzungu amezishika, hivyo muda siyo mrefu mtasikia watu wa wildlife, watunza mazingira na wanyama mpaka hata UN wakipinga sisi kujenga Stieglers, adui yetu tunaye humu humu nchini, tena na sasa hivi snitch namba moja wamempa Uongozi wa ma-snitches TLS, sasa hivi wanaandika mabarua tu kwa Muzungu kuelezea na kupinga sisi kujenga Bwawa la Stiegler, MW 2000 si mchezo ni lazima watu wachanganyikiwe, subirini mtasikia, ...
Brooo unajitambua Lakini? Hivi wewe una akiri kweli? Watu wako kwenye msiba wa Deni la taifa na trilioni moja point Tatu wanaomboleza wewe uko humu unatetea majanga
 
Back
Top Bottom