cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,765
- 1,440
Kilichopo yanaandaliwa mazingira ya kukwapua matrilioni mengine, mijingajinga ipo humu inafurahia tu buku7.Haiingii akilini bomba la gesi tulilolijenga kwa gharama kubwa, linatumika kwa 6% tu! halafu kwa uzwazwa mkubwa unajenga Stiglier's gorge itakayotumia maji ambayo sasa yamepungua sana sababu ya climate change! Hakuna dalili za maji hayo kuongezeka! Ujenzi wenyewe pia ni wa gharama kubwa mno! Wataalamu wanasema kuwa iwapo bomba la gesi lingetumika 25% tu, ingeweza kuzalisha umeme wote ambao utazalishwa pale Stiglier's gorge kwa gharama za kijinga na kutafuta sifa za ovyoo. Hivyo nani ameturoga!