Baada ya ATCL yetu sasa ma-snitch kuhamia Stieglers Gorge!

Haiingii akilini bomba la gesi tulilolijenga kwa gharama kubwa, linatumika kwa 6% tu! halafu kwa uzwazwa mkubwa unajenga Stiglier's gorge itakayotumia maji ambayo sasa yamepungua sana sababu ya climate change! Hakuna dalili za maji hayo kuongezeka! Ujenzi wenyewe pia ni wa gharama kubwa mno! Wataalamu wanasema kuwa iwapo bomba la gesi lingetumika 25% tu, ingeweza kuzalisha umeme wote ambao utazalishwa pale Stiglier's gorge kwa gharama za kijinga na kutafuta sifa za ovyoo. Hivyo nani ameturoga!
 
Waliokuroga ni hao ,,Wataalamu” maharage wako waliokudanganya!
 
Haiingii akilini bomba la gesi tulilolijenga kwa gharama kubwa, linatumika kwa 6% tu! halafu kwa uzwazwa mkubwa unajenga Stiglier's gorge itakayotumia maji ambayo sasa yamepungua sana sababu ya climate change! Hakuna dalili za maji hayo kuongezeka! Ujenzi wenyewe pia ni wa gharama kubwa mno! Wataalamu wanasema kuwa iwapo bomba la gesi lingetumika 25% tu, ingeweza kuzalisha umeme wote ambao utazalishwa pale Stiglier's gorge kwa gharama za kijinga na kutafuta sifa za ovyoo. Hivyo nani ameturoga!
Yaani hata siwaelewi hawa jamaa,
Hii gesi waliipigia debe kweli kweli,
Walituambia hata Uchumi wetu utaimarika sana,
Kwamba tutakua na uchumi wa Gesi,
Tutauza mpaka nje na Tutapata hela nyingi saa,
Waliopinga hii wakaonekana wahaini, wakapelekewa na Majeshi kabisa (Sio Polisi tu)
Kumbe zilikua hadithi tu aisee, dah
 
Yale yaliotetea escrow nayo sasahivi yamejificha sijui wapi yalitetea ufisadi wa escrow sasa hivi yamejificha na kugeuka na huenda na wewe ukawemo kwenye kutetea ufisadi yani Mwaka mmoja tumepigwa za uso one point five je hadi miaka kumi hilo Deni la taifa na hizi za trillion najua mwakani utazikana Kama ulivyotetea za escrow kipindi kile sasahivi unashabikia kuwa wamekamatwa
Acha kushabikia ujinga. Hakuna pesa iloibwa hapo ni ushamba wa Zitto kutojua uhasibu. Tatizo huyu dogo anadhani amepata pa kutokea kisiasa kumbe ushamba wa kutojua uhasibu ndo unamsumbua huyu dogo Zitto
 
1.5 trei za mayai zimeangukiwa na jiwe na mayai yote yakavunjika inasikitisha sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji124]
 
Hata Ndege zetu walianza hivi hivi mwishowe tukasikia Muzungu amezishika, hivyo muda siyo mrefu mtasikia watu wa wildlife, watunza mazingira na wanyama mpaka hata UN wakipinga sisi kujenga Stieglers, adui yetu tunaye humu humu nchini, tena na sasa hivi snitch namba moja wamempa Uongozi wa ma-snitches TLS, sasa hivi wanaandika mabarua tu kwa Muzungu kuelezea na kupinga sisi kujenga Bwawa la Stiegler, MW 2000 si mchezo ni lazima watu wachanganyikiwe, subirini mtasikia, ...
Mkuu fedha za ACACIA tunalipwa lini?
 
Usinikumbushe habari za ethiopia, wana standadigeji tayari, shirika la ndege bora ndani ya Afrika, kama sikosei serikali inamiliki hisa nyingi tuu kwenye shirika lile la ndege, nnachoshangaa sasa ni kwamba wahamiaj haramu wao ndo wanaokotwa kila kukicha kwenye chasis za magari huku kwetu!
 
Tatizo la baadhi ya watanzania, wameshindwa kujua katika dunia ya mashindano na maslahi kama ya leo, utaifa utangulizwa mbele. Na hawajui kwamba serikali(na siyo taasisi au taasisi zote) za nchi za Ulaya utumika kuendekeza unyonyaji kupitia makampuni makubwa ya wazungu.
tatizo serikali yetu yenyewe imeshindwa kutanguliza utaifa mbele...

[HASHTAG]#whereisour1[/HASHTAG].5T
 
1500 billions, dah mamaeeeeee,za kuwalipa kina kisanduku sniper mnachezeachezea tu😡🙁
 
Hata Ndege zetu walianza hivi hivi mwishowe tukasikia Muzungu amezishika, hivyo muda siyo mrefu mtasikia watu wa wildlife, watunza mazingira na wanyama mpaka hata UN wakipinga sisi kujenga Stieglers, adui yetu tunaye humu humu nchini, tena na sasa hivi snitch namba moja wamempa Uongozi wa ma-snitches TLS, sasa hivi wanaandika mabarua tu kwa Muzungu kuelezea na kupinga sisi kujenga Bwawa la Stiegler, MW 2000 si mchezo ni lazima watu wachanganyikiwe, subirini mtasikia, ...
Ndege zilishikwa kwa sababu kuna viongozi wenye akili za kipuuzi kama zako, wewe unadaiwa halafu unagoma kulipa deni, ndege zikishikwa unatafuta snichi, wacha kuandiga vitu vya kishoga, Punga kabisa.
 
Acha kushabikia ujinga. Hakuna pesa iloibwa hapo ni ushamba wa Zitto kutojua uhasibu. Tatizo huyu dogo anadhani amepata pa kutokea kisiasa kumbe ushamba wa kutojua uhasibu ndo unamsumbua huyu dogo Zitto
Chanzo sio Zitto, ni mkaguzi mkuu wa mahesabu, mhasibu aliyebobea, daktari wa falsafa!
 
Jamani yale mabilioni yetu ya acacia yameyeyukia wapi? zile noah zetu ziko wapi wajameni? yule mwanaume alituahidi vipi yameshalipwa bandugu?
 
Usinikumbushe habari za ethiopia, wana standadigeji tayari, shirika la ndege bora ndani ya Afrika, kama sikosei serikali inamiliki hisa nyingi tuu kwenye shirika lile la ndege, nnachoshangaa sasa ni kwamba wahamiaj haramu wao ndo wanaokotwa kila kukicha kwenye chasis za magari huku kwetu!

Kama ni hivyo hata Wamexiko pia wanaokotwa jangwani wamekufa wakijaribu kuingia USA, Je Mexiko ni nchi Maskini?
 
Chanzo sio Zitto, ni mkaguzi mkuu wa mahesabu, mhasibu aliyebobea, daktari wa falsafa!
Ufafanuzi ndo wenye shida. Anajaribu kuchambua kitu asichojua
 
Haiingii akilini bomba la gesi tulilolijenga kwa gharama kubwa, linatumika kwa 6% tu! halafu kwa uzwazwa mkubwa unajenga Stiglier's gorge itakayotumia maji ambayo sasa yamepungua sana sababu ya climate change! Hakuna dalili za maji hayo kuongezeka! Ujenzi wenyewe pia ni wa gharama kubwa mno! Wataalamu wanasema kuwa iwapo bomba la gesi lingetumika 25% tu, ingeweza kuzalisha umeme wote ambao utazalishwa pale Stiglier's gorge kwa gharama za kijinga na kutafuta sifa za ovyoo. Hivyo nani ameturoga!
Kilichopo yanaandaliwa mazingira ya kukwapua matrilioni mengine, mijingajinga ipo humu inafurahia tu buku7.
 
Back
Top Bottom