Baada ya ATCL yetu sasa ma-snitch kuhamia Stieglers Gorge!

Baada ya ATCL yetu sasa ma-snitch kuhamia Stieglers Gorge!

Tatizo la baadhi ya watanzania, wameshindwa kujua katika dunia ya mashindano na maslahi kama ya leo, utaifa utangulizwa mbele. Na hawajui kwamba serikali(na siyo taasisi au taasisi zote) za nchi za Ulaya utumika kuendekeza unyonyaji kupitia makampuni makubwa ya wazungu.
Jaman,2015 kurudi nyuma mlituambia UCHUMI WA GESI,sheria ikatungwa ikapitishwa usiku wa manane,ikatungwa sera na kanuni,bomba likajengwa,
Watu wa Mtwara mkawaona sio wazalendo,leo Bomba linatumika kwa 6% tu wakat ilisemwa kuwa gas itaondoa shida ya umeme.
Isije ikawa mradi huu nao ukawa White Elephant.
Kisha mje kuwasingizia wazungu.
Kwani bomba la Gas nani amelihijumu?
 
Hakuna mbadala wa umeme unaotokana na maji kwa unafuu wa gharama Dunia hii, hivyo kama vyanzo vya maji vipo tuhakikishe tumevitumia kwanza, kumbuka unapoongelea industrialization unaongelea pia kushindana na wengine na kama ukiwa na gharama ndogo ya Umeme tayari uko hatua moja mbele!
Unasahau kwamba umeme wa maji sio reliable, especially now that kuna haya masuala ya climate change.
Gas is there......as long as ipo utapata umeme unlike maji utaskia oh sijui mvua zimechelewa blah blah blah. Imagine nchi nzima ikianza kutegemea huo mradi and then mwaka flani mvua zisinyeshe. What then? Maana nahisi serikali ikishatekeleza huo mradi itatulia kwanza kujenga more power plants.
Tuinvest sana kwenye gas. Nimeskia tuna uwezo wa kupata hata 10,000MW kiulainiiiiiiiii kama tukiwekeza kwenye gesi. That is the way to go.
My humble opinion.
 
Back
Top Bottom