Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,106
Umenena vyema..., tukamtoe mwizi wetu wa Trillion 1.5 trh 26042018Kati ya zito na CAG nani anajua uhasibu? Kusoma hujui hata picha hujui? Hoja inajibiwa na hoja siyo viroja vya chakubanga aliyetoa ripoti in CAG siyo zito mwambieni vichwa viwili arudishe 1.5T zetu si tunalalamika vyuma vimekaza kumbe yy ni sababu. OK tarehe 26 kama kawa