Angekuwa anawaburuza angeishia kuwa Korokoroni?Sirro kuanzia olevel hadi advance alikuwa anawaburuza watu kile ni kichwa hatari angeamua kuingia kwenye siasa angekua mtu mkubwa sana
Angekuwa anawaburuza angeishia kuwa Korokoroni?Sirro kuanzia olevel hadi advance alikuwa anawaburuza watu kile ni kichwa hatari angeamua kuingia kwenye siasa angekua mtu mkubwa sana
nyie subirini gaidimwenu ale mvua tu hachomoki hata kidogoKama atatokea avae pampasi mapema kuokaoa muda wa mahakama.
Sukari ya Kingai inazidi kupanda?nyie subirini gaidimwenu ale mvua tu hachomoki hata kidogo
Tuwekeeni hayo mahojiano tuone.Jana 15/9/2021, Tulishuhudia ACP Ramadhan Kingai akitoa ushahidi mahakani juu ya kesi ya kigaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, Tuliona namna alivyowashiwa Moto wa mahojiano na mawakili wa utetezi kiasi kwamba akaanza kujichanganya na kupelekea watu hapa jukwaani kuhoji CV yake!
Ikumbukwe kuwa, wakili msomi, Peter Kibatala, aliiomba mahakama kuwa IGP Sirro awe shahidi upande wa utetezi na ijumaa alitajwa rasmi kuwa mmoja Kati ya mashahidi upande wa utetezi!
Tutegemee nini kutoka kwa IGP Sirro?
Atahimili na kustahimili joto la kizimba, au naye atajichanganya?
___________________________________
NB: Kesi itaendelea Leo saa 4:00 asbuhi, ACP kingai akiendelea kuhojiwa na upande wa utetezi.
Nilichogundua humu watu wanafanya ushabiki kwenye masuala ya kitaaluma. Sheria ni taaluma siyo ushabiki wa mpira. Kuna Mawakili Mahakamani huwa wanawahoji mashahidi mambo ya kipumbavu ambayo hata hayahusiani na kesi ya msingi. Mwisho wa siku mteja wao akishindwa kesi, wanadai Jaji hakua fair.Kusoma sheria hakuhusiani chochote na cross examination, pale wakili anakuwa uwanja wa nyumbani, Sirro ajiandae.
Kibatala :unachanja au huchanjiii???Kuna uwezekano kwa 99% Sirro asitokee mahakamani, ili kukwepa kuaibika.
Kwa jinsi mwenzake alivyopelekeshwa jana, Sirro huenda akaachia Samadi mbichi pale mahakamani.
Siasa ina wenyeweSirro huwa namuonea huruma sana huyu afande..jamaa ni intelligent sana,ni kamanda mmoja mpambanaji na mwenye bidii sana tangu jeshi la police..but siasa ndio inamyumbisha huyu.
Mzalie watoto mapacha basi huyo KibataKibatala :unachanja au huchanjiii???
RPC wa Simon Sirro : sijachnachannasijachijnnjjj
Kibatala:ha
Ukishamzalia wewe inatoshaMzalie watoto mapacha basi huyo Kibata
Tuombe ulinzi kwa mhe kibatala na wenzakeJana 15/9/2021, Tulishuhudia ACP Ramadhan Kingai akitoa ushahidi mahakani juu ya kesi ya kigaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, Tuliona namna alivyowashiwa Moto wa mahojiano na mawakili wa utetezi kiasi kwamba akaanza kujichanganya na kupelekea watu hapa jukwaani kuhoji CV yake!
Ikumbukwe kuwa, wakili msomi, Peter Kibatala, aliiomba mahakama kuwa IGP Sirro awe shahidi upande wa utetezi na ijumaa alitajwa rasmi kuwa mmoja Kati ya mashahidi upande wa utetezi!
Tutegemee nini kutoka kwa IGP Sirro?
Atahimili na kustahimili joto la kizimba, au naye atajichanganya?
___________________________________
NB: Kesi itaendelea Leo saa 4:00 asbuhi, ACP kingai akiendelea kuhojiwa na upande wa utetezi.
kabisa aisee,Watu wanasoma ili wapande vyeo na akistaafu/kufariki mafao yawe manono lakini kichwani bure kabisa.
hahahaha, anaweza kua nayo,Hivi ni kweli Sirro ana PhD ya sheria??
Ana degree ya education, masters ya sheria.
PhD labda ameipata Jana usiku.
Kesi ya madawa ilo inarejea itatajwa soon ,kumbuka hii ni kesi mama vipo vikesi vidogo vidogo vya kutosha hadi mbowe afungweKwanini watuhumiwa walikutwa na madawa ya kulevya lakini maelezo hayo hayapo kwenye hati ya mashitaka? Au madawa ya kulevya yamehalalishwa siku hizi?
Kuna takataka moja gaidi linaozea jera muda huuacha utani wewe
Basi PhD itakuwa takataka
Ingekuwa phd ya uwongo sawa hiyo ya sheria mbele ya Kibatala itakuwa PHSirro anahold phd ya sheria udsm