Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Mkuu king'amuzi chako kina chaneli moja tu?......kuna chanell ya cinema zetu nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,

Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mbona waislam huvumilia zile kwaya na Sara ambazo huwekwa mwanzo mwisho wa safari katika mabus mengi hasa ya kaskazini ambapo wamiliki wengi ni wakristo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu kwa usumbufu unaoupata, mi nakushauri kawashtaki Tcra ili wachukuliwe hatua kwani kulalamika tu humu hakubadili chochote zaidi ya wewe kupata like tu
 
Mbona kwenye bank nyingi kipindi cha x mass huwa wanaweza sana miziki ya injili, machapisho mbalimbali yenye maudhui ya kikristo. Hata vile vyombo vya habar vyenye wamiliki wakristo huwa ni hivyo wakati wa kwaresma na x mass, sasa kwa kuwa mmiliki wa Azam ni muislam anaweka maudhui hayo.
Vumilia tu ndiyo uungwana , ukishindwa hama

Sent using Jamii Forums mobile app

Anaongelea TV STATION inayorusha maudhui kwa general audience na sio BANK!
 
Acheni hizo , kama vipi tafuteni sheria ya uendeshaji wa vyombo vya habari unasemaje, then ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mtoa mada una tatizo. Kwenye TV kuna mbadala mwingi sana haswa pale unapoona kipindi kinachoonyeshwa haukipendi. Mfano Azam Tv ni dish ambalo ndani yake kuna TV moja moja nyingi sana na zenye maudhui tofauti tofauti kuanzia channel za dini, tamthilia, documentaries, vipindi vya watoto, music, movies n.k. Kama ukiona channel Fulani haikupendezi hamia nyingine kuliko kung'ang'ania sehemu moja na kuikasoro.

Nchi yetu ni ya dini mchanganyiko lakini hata hivyo kipindi maalum kama hiki basi kwa heshima ya wenzetu inabidi tuishi kwa kutowakwaza waislam wakati huu wa mfungo kama wao walivyofanya kipindi cha kwaresima. Ukianza kuangalia kila kitu kwa matazamo wa upendeleo wa udini basi nafsi yako itakwazika sana.
 
Mkuu king'amuzi chako kina chaneli moja tu?......kuna chanell ya cinema zetu nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu azam tv kuna channel ngapi ambazo wamezitambulisha zitaonesha movie za hapa kwety bongo? zingelikuwa nyingi zinaonyesha wala isingekuwa tabu au ingekuwa hiyo channel ya sinema zetu ni special kwa movie za kidini wala isingekuwa taabu
 
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Mbona kuna channels nyingi tu na kama unaona haikidhi haja basi dondokea DSTV au Startime.
 
Mbona kuna channels nyingi tu na kama unaona haikidhi haja basi dondokea DSTV au Startime.
kwa hiyo hawa azam hawatakiwi kuambiwa ukweli jiulize huwezi kuwezi kusikia zbc analalamikiwa au tumaini tv analalamikiwa sasa hawa kugeuza chanel isiyo ya kidini kuanza kuonyesha mambo ya kidini ni sawa, jibu kwa facts sio mihemuko
 
Back
Top Bottom