Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

akitoa zaidi ya hapa ntahamia kwake,
IMG_20180704_191353.jpg
 
Mmesikia mpya????

Ebwana soon bakhresa anakuja na mtandao wa simu uitwao Azamtell

Kwa kweli nasikia ni miezi michache ijayo kiukweli litakua jambo jema sana

Itakua vizuri sana ili ushindani uongezeke na pia hii itasaidia gharama zitapungua

Nadhani hata natamani makampuni ya ving'amuzi yaje kwa wingi pia nchini na pia yaanzishwe ili ushindani uwepo sio tunawaacha [HASHTAG]#startimes[/HASHTAG] tu wakiwatesa wa_tz
 
Hata Klabu yake ya Azam ilipoanzishwa tuliambiwa na hadi kuhakikishiwa kuwa itabadili kabisa Soka la Tanzania na Kuzipiku Klabu za Simba na Yanga. Je hilo limetokea Mkuu? Utajiri au Pesa siyo kila Kitu katika maisha bali mipango, maaria, mbinu na mikakati ndiyo kila Kitu. Nakuomba itunze hii ' post ' yangu huo Mtandao wa AzamTell hautafanya vyema na bado akina Tigo, Vodacom na Airtel watatawala ' Biashara ' kwani waliwekeza katika ' Research ' na wameshawakamata Watanzania vilivyo na michezo yote ya ' Kimjini Kimjini ' wanaijua vilivyo.
 
Nina hakika watafanya vizuri mno unaona azam tv na azam decoder walivyofunika???mpaka sasa hivi ni namba 2 baada ya dstv kwa ubora na kila kitu
 
Hata Klabu yake ya Azam ilipoanzishwa tuliambiwa na hadi kuhakikishiwa kuwa itabadili kabisa Soka la Tanzania na Kuzipiku Klabu za Simba na Yanga. Je hilo limetokea Mkuu? Utajiri au Pesa siyo kila Kitu katika maisha bali mipango, maaria, mbinu na mikakati ndiyo kila Kitu. Nakuomba itunze hii ' post ' yangu huo Mtandao wa AzamTell hautafanya vyema na bado akina Tigo, Vodacom na Airtel watatawala ' Biashara ' kwani waliwekeza katika ' Research ' na wameshawakamata Watanzania vilivyo na michezo yote ya ' Kimjini Kimjini ' wanaijua vilivyo.

Angalau tuna uhakika kuwa amefunika vituo vingine vya TV.
I
 
Mmesikia mpya????

Ebwana soon bakhresa anakuja na mtandao wa simu uitwao Azamtell

Kwa kweli nasikia ni miezi michache ijayo kiukweli litakua jambo jema sana

Itakua vizuri sana ili ushindani uongezeke na pia hii itasaidia gharama zitapungua

Nadhani hata natamani makampuni ya ving'amuzi yaje kwa wingi pia nchini na pia yaanzishwe ili ushindani uwepo sio tunawaacha [HASHTAG]#startimes[/HASHTAG] tu wakiwatesa wa_tz

wenye kijicho kibaya wameamua kumuuzia kampuni fulani ili ukileta kampuni yako mapinduzi lazima umuone huyo
 
Mmesikia mpya????

Ebwana soon bakhresa anakuja na mtandao wa simu uitwao Azamtell

Kwa kweli nasikia ni miezi michache ijayo kiukweli litakua jambo jema sana

Itakua vizuri sana ili ushindani uongezeke na pia hii itasaidia gharama zitapungua

Nadhani hata natamani makampuni ya ving'amuzi yaje kwa wingi pia nchini na pia yaanzishwe ili ushindani uwepo sio tunawaacha [HASHTAG]#startimes[/HASHTAG] tu wakiwatesa wa_tz
Kwani kipi cha ajabu?unadhani ndio utapata airtime/bundle za bure,jiulize kituo chake cha runinga na bei zake halafu ndio uzidi kushangilia huku unakung'utwa makonzi ya bei za kuibiwa.
 
Na yeye atakuwa kama wenzake tu, hakuna kipya hapo. Sana sana ataanza kama alivyoanza Halotel tu.
 
Nawaza kitu hapa...hiv mfano azamtel akiamua kwamba 1000 unapata 2GB kwa siku tatu, 2000 unapata GB 4 kwa wiki nan atabak mitandao mingne. Just mawazo tu?
 
Wakati unawaza hivyo hebu waza na hili ya kuwa amenunua frequency ya 700Mhz kwa $10M ,weka operational cost zingine hebu pata picha hiyo offer itadumu kwa muda gani
 
makaburu na wafilisti wakubwa hawo,wanatuvuta miezi mitatu minne ya mwanzoni watu mkitupa lain zenu za mwanzo mnaanza kupewa dk2 masaa 24 kwa buku.
 
Back
Top Bottom