Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,393
Reaction score
15,163
Ikiwa Takribani ni miaka 20 ya Mabadiliko ya kiteknolojia yaliyoleta huduma za Simu za mkoni nchini pamoja na Duniani kote kwa ujumla Tumeshuhudia mitandao ya Simu ikianzishwa na Kufanikiwa huku Kukiwa na ushindani mkubwa wa Kibishara.

Makampuni kama Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, TTCL pamoja na Zantel yanachuana vikali lakini soko bado linaonesha kuna opportunities nyingi katika Sekta hii ya Mawasiliano.

Makampuni mengi yamekua yakitoa huduma dhaifu kwa bei kubwa na kusababisha usumbufu Kwa mteja na hivyo Azam Mobile inatarajiwa kuleta huduma bora kwani wameshajifunza Kwa mda mrefu wanachokosea washindani wake hasa katika masuala ya internet ambapo mitandao mingi imekua ikijinasibu kuwa inatoa huduma bora lakini ukweli ni kwamba hata video za YouTube mda mwingine huwezi kuplay.

Ninatarajia Azam kuja na Mkakati wa
-Kuboresha huduma (Speed)
-Kuleta bei ya kiushindani.

Kila laheri Azam Telecom Kwa uwekezaji huu.
IMG-20180702-WA0006.jpg
 
TTCL ndio baba lao
Hujui ulisemalo...
1. TTCL market share ni 1%
2. Humu JF wapo wengi tu hata code number ya TTCL hawaijui...

Ubaba lao unatoka wapi?

Wakati Celtel na wengine wanatumia backborne sites zao kufika mikoani, walikuwa wanapata hela sana... Lakini kwa ukiritimba, wengine wakaamua kujenga backborne sites zao... MAANA KUVUMILIA DOWNTIME YA MKURANGA HUKU LINDI NA MTWARA NA SEHEMU YA RUVUMA IKIWA IMEKATIKA MAWASILIANO... kisa gari la TTCL analo dereva, aombe authority ya kutumia mafuta, then amfuate mhandisi aliko, halafu waanze safari ya kwenda kwenye tatizo..!!!!! WAKATI WENZAO, MHANDISI ANA GARI, ANA KITABU CHA MAFUTA, ANA LAPTOP... any time yupo tayari kwenda kokote..!!!
 
Ikiwa Takribani ni miaka 20 ya Mabadiliko ya kiteknolojia yaliyoleta huduma za Simu za mkoni nchini pamoja na Duniani kote kwa ujumla Tumeshuhudia mitandao ya Simu ikianzishwa na Kufanikiwa huku Kukiwa na ushindani mkubwa wa Kibishara.

Makampuni kama Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, TTCL pamoja na Zantel yanachuana vikali lakini soko bado linaonesha kuna opportunities nyingi katika Sekta hii ya Mawasiliano.

Makampuni mengi yamekua yakitoa huduma dhaifu kwa bei kubwa na kusababisha usumbufu Kwa mteja na hivyo Azam Mobile inatarajiwa kuleta huduma bora kwani wameshajifunza Kwa mda mrefu wanachokosea washindani wake hasa katika masuala ya internet ambapo mitandao mingi imekua ikijinasibu kuwa inatoa huduma bora lakini ukweli ni kwamba hata video za YouTube mda mwingine huwezi kuplay.

Ninatarajia Azam kuja na Mkakati wa
-Kuboresha huduma (Speed)
-Kuleta bei ya kiushindani.

Kila laheri Azam Telecom Kwa uwekezaji huu.
View attachment 800823
Awe tayari kwenye mishahara ..... MAANA kulipana laki 5 kutamuulia network
 
Waje tu,ila wasituibie kama Tigo na Vodacom.
 
Sidhani kama wataleta Mpya mana halotel nae alikuja na bwebwe kibao ila saivi tayari kafanana na wenzie sio speed wala data
 
Wakuitwa Halotel nao walianza hivi hivi mbwembwe nyiiiingi ila leo wote sisi mashahidi!

Bongo hakuna tunachokiweza tumekaa kuibiana ibiana tu kila mmoja anatafuta namna ya kumpiga mwenzake ili siku ziende.
 
Ikiwa Takribani ni miaka 20 ya Mabadiliko ya kiteknolojia yaliyoleta huduma za Simu za mkoni nchini pamoja na Duniani kote kwa ujumla Tumeshuhudia mitandao ya Simu ikianzishwa na Kufanikiwa huku Kukiwa na ushindani mkubwa wa Kibishara.

Makampuni kama Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, TTCL pamoja na Zantel yanachuana vikali lakini soko bado linaonesha kuna opportunities nyingi katika Sekta hii ya Mawasiliano.

Makampuni mengi yamekua yakitoa huduma dhaifu kwa bei kubwa na kusababisha usumbufu Kwa mteja na hivyo Azam Mobile inatarajiwa kuleta huduma bora kwani wameshajifunza Kwa mda mrefu wanachokosea washindani wake hasa katika masuala ya internet ambapo mitandao mingi imekua ikijinasibu kuwa inatoa huduma bora lakini ukweli ni kwamba hata video za YouTube mda mwingine huwezi kuplay.

Ninatarajia Azam kuja na Mkakati wa
-Kuboresha huduma (Speed)
-Kuleta bei ya kiushindani.

Kila laheri Azam Telecom Kwa uwekezaji huu.
View attachment 800823
Wewe unashida sana! King'amuzi tu chenyewe kimewatoa jasho iweje mambo ya letelephone watawezea wapi washamba wakubwa sana hawa.
 
Hamna kitu, hao azam nao watakuwa wababaishaji tu...
Walikuja smart, sijui vimitandao gani, vikaishia kugawa line tu...
Halotel iliyokuwa inasifiwa sasa wateja wanaugulia maumivu...
Hiyo biashara ni ngumu, azam hawezi kuleta hayo mapinduzi yanayosemwa eti ameshajifunza...
 
Back
Top Bottom