KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
Hahahaaa. Unajua nimemaanisha nini yaani unaweza andika kitu ila tafsiri yake ikawa zaidi ya moja. Na ndio ilivyo kwa nilichokiandika na ulichokiandika weye pia.
Hahahaaaa. Haya bana ila nitakununulia wewe kwanza hiyo SIM Card kisha ndio nimnunulie huyo mwingine.
Hahahah kwa wewe najua hushindwi kutupa wote kwa pamoja umejaaliwa Maasha-Allah nakuaminia ati.
Lol.