Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

Telecom industry haiko rahisi kihivyo kwa sasa.
kweli mkuu kuna customers waaminifu na waadilifu kama wa vodacom kuwahamisha ni ngumu !
anatglia kwenye soko la money transfer itavyokua ngumu kama linavyowasumbua Halotel
 
Vifurushi vya TV yake vinafanana na za makampuni mengine , nani kakuambia kwenye simu atatofautiana na mabepari wenzake?
 
Nina hakika watafanya vizuri mno unaona azam tv na azam decoder walivyofunika???mpaka sasa hivi ni namba 2 baada ya dstv kwa ubora na kila kitu
Hiyo tv inabebwa na mkataba vpl,bila hivyo ingekua aibu,na ule mkataba wao na tff ilibidi takukuru waupitie
 
Unawajua hawa ndugu wawili @TRA na TCRA hawa jamaa ndo watamnyoosha maana wao ndo wanapanga na kulinda maslai yao kule kwingine
mambo hupangwa mezani...... hapa nadhan voda tgo na airtel watabana ili wasitfautiane kulinda maslahi
 
1541933557165.png
 
Back
Top Bottom