1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,338
- 12,708
akitoa zaidi ya hapa ntahamia kwake,
akitoa zaidi ya hapa ntahamia kwake, View attachment 802616
Hata hao chuo wenyewe hawawez kukupa GB 10 siku 30 kwa bukuMkuu hiyo ni laini ya chuo sio?
Hii unaipataje?akitoa zaidi ya hapa ntahamia kwake, View attachment 802616
Mmesikia mpya????
Ebwana soon bakhresa anakuja na mtandao wa simu uitwao Azamtell
Kwa kweli nasikia ni miezi michache ijayo kiukweli litakua jambo jema sana
Itakua vizuri sana ili ushindani uongezeke na pia hii itasaidia gharama zitapungua
Nadhani hata natamani makampuni ya ving'amuzi yaje kwa wingi pia nchini na pia yaanzishwe ili ushindani uwepo sio tunawaacha [HASHTAG]#startimes[/HASHTAG] tu wakiwatesa wa_tz
Nina hakika watafanya vizuri mno unaona azam tv na azam decoder walivyofunika???mpaka sasa hivi ni namba 2 baada ya dstv kwa ubora na kila kituHata Klabu yake ya Azam ilipoanzishwa tuliambiwa na hadi kuhakikishiwa kuwa itabadili kabisa Soka la Tanzania na Kuzipiku Klabu za Simba na Yanga. Je hilo limetokea Mkuu? Utajiri au Pesa siyo kila Kitu katika maisha bali mipango, maaria, mbinu na mikakati ndiyo kila Kitu. Nakuomba itunze hii ' post ' yangu huo Mtandao wa AzamTell hautafanya vyema na bado akina Tigo, Vodacom na Airtel watatawala ' Biashara ' kwani waliwekeza katika ' Research ' na wameshawakamata Watanzania vilivyo na michezo yote ya ' Kimjini Kimjini ' wanaijua vilivyo.
Hata Klabu yake ya Azam ilipoanzishwa tuliambiwa na hadi kuhakikishiwa kuwa itabadili kabisa Soka la Tanzania na Kuzipiku Klabu za Simba na Yanga. Je hilo limetokea Mkuu? Utajiri au Pesa siyo kila Kitu katika maisha bali mipango, maaria, mbinu na mikakati ndiyo kila Kitu. Nakuomba itunze hii ' post ' yangu huo Mtandao wa AzamTell hautafanya vyema na bado akina Tigo, Vodacom na Airtel watatawala ' Biashara ' kwani waliwekeza katika ' Research ' na wameshawakamata Watanzania vilivyo na michezo yote ya ' Kimjini Kimjini ' wanaijua vilivyo.
Mmesikia mpya????
Ebwana soon bakhresa anakuja na mtandao wa simu uitwao Azamtell
Kwa kweli nasikia ni miezi michache ijayo kiukweli litakua jambo jema sana
Itakua vizuri sana ili ushindani uongezeke na pia hii itasaidia gharama zitapungua
Nadhani hata natamani makampuni ya ving'amuzi yaje kwa wingi pia nchini na pia yaanzishwe ili ushindani uwepo sio tunawaacha [HASHTAG]#startimes[/HASHTAG] tu wakiwatesa wa_tz
Kwani kipi cha ajabu?unadhani ndio utapata airtime/bundle za bure,jiulize kituo chake cha runinga na bei zake halafu ndio uzidi kushangilia huku unakung'utwa makonzi ya bei za kuibiwa.Mmesikia mpya????
Ebwana soon bakhresa anakuja na mtandao wa simu uitwao Azamtell
Kwa kweli nasikia ni miezi michache ijayo kiukweli litakua jambo jema sana
Itakua vizuri sana ili ushindani uongezeke na pia hii itasaidia gharama zitapungua
Nadhani hata natamani makampuni ya ving'amuzi yaje kwa wingi pia nchini na pia yaanzishwe ili ushindani uwepo sio tunawaacha [HASHTAG]#startimes[/HASHTAG] tu wakiwatesa wa_tz
Unawajua hawa ndugu wawili @TRA na TCRA hawa jamaa ndo watamnyoosha maana wao ndo wanapanga na kulinda maslai yao kule kwingineNawaza kitu hapa...hiv mfano azamtel akiamua kwamba 1000 unapata 2GB kwa siku tatu, 2000 unapata GB 4 kwa wiki nan atabak mitandao mingne. Just mawazo tu?
Wakati unawaza hivyo hebu waza na hili ya kuwa amenunua frequency ya 700Mhz kwa $10M ,weka operational cost zingine hebu pata picha hiyo offer itadumu kwa muda ganiNawaza kitu hapa...hiv mfano azamtel akiamua kwamba 1000 unapata 2GB kwa siku tatu, 2000 unapata GB 4 kwa wiki nan atabak mitandao mingne. Just mawazo tu?