Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

akaribie katika ulimwengu huu wa ushindani
ila sidhani kama kuna mtu alifikilia kuleta usumbufu kwa wateja wake
 
Naanza kuona bidhaa za Azam zikiuzwa kwa promotion huku zikiwa zimewekwa zawadi ya vocha za Azam.

Inavutia kusikia tangazo,..... Nunua (jina la bidhaa) ujipatie vocha ya bure ya Tsh500/=
 
Sasa wewe unafananisha uwezo wa tembo na sisimizi kweli!!! Bakhresa unamfananisha na hao wanaokula mb zetu kila kukicha...alafu bado unawatetea! elewa maana ya HALAL natengemea itakuwa hivyo tuombe uzima..kwanza Bakhresa akiamua kuvinunua hvyo vikampuni hashindwi...jamaa anapesa za kumwaga.
Mimi siwatetei hao unaosema, matumizi ya optical fibres ndio suluhisho tu!
Bado hiyo azam itakuwa na ubabaishaji, mwanzo mtaiona kama mkombozi, but mark my word..zitajaanzishwa nyuzi nyingi sana humu jamvini kuongelea huo ubabaishaji kama ambavyo halotel ilivyopigiwa upatu, but now watu wametupa line uvunguni!
 
Mimi siwatetei hao unaosema, matumizi ya optical fibres ndio suluhisho tu!
Bado hiyo azam itakuwa na ubabaishaji, mwanzo mtaiona kama mkombozi, but mark my word..zitajaanzishwa nyuzi nyingi sana humu jamvini kuongelea huo ubabaishaji kama ambavyo halotel ilivyopigiwa upatu, but now watu wametupa line uvunguni!

Hii kampuni ni ya mzawa tena kampuni binafsi,na sio Government wala mtu wa nje..... ngoja tuone matunda yake...Mungu ambariki huyu mwarabu ampe afya njema na umri mrefu wa kuishi. Amiiin!
 
Aitel, halotel,voda n.k wameweza iweje bakhresa ashindwe...wakati wote hawa wamewekwa kwenye kiganja na bakhresa. Bakhresa sio mchezo mchezo bwana anaweza akailisha tanzania nzima.
Usemalo ni kweli, nimetahadharisha tu.. Ili awapate wazoefu na makorokocho ya telecom, kuanzia POWER, Transmission, Core network, billing, marketing etc lazima awapiku watangulizi wake by far.... Halotel, Smart, si unajua mishahara ipoje..!!?....
 
Ni kama vile ISRAEL NA MAREKANI yani hawa bila kupapasa ni mashetani wakubwa anaebisha abishe ikibidi ajinyonge kabisa.

Samahani nimetoka nje ya mada husika.

Bila ya samahani kiongozi hilo suala liko wazi na linajulikana fika mkuu. Nawasilisha.

Ahsante.
 
Azam Telecom, Vodacom Secure New Broadband

By Alfred Zacharia

Dar es Salaam — Vodacom Tanzania Plc and Azam Telecom (T) Limited have emerged winners and acquisitionists of the 700 MHz broadband during a spectrum auction conducted by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA).

According to a statement by TCRA, Vodacom Tanzania Plc acquired 2 x 10 MHz for a total price of $10.005 million (Sh22.5 billion) while Azam Telecom (T) Ltd acquired 2 x 10 MHz for a total price of $10 million (Sh22.5 billion).

The auction was carried out on June 8, 2018, with a designation to achieve the National Information Communications and Technology Policy (National ICT Policy), 2016 objectives of promoting an efficient use of spectrum to generate the greatest socio-economic benefits.

The regulator said Vodacom and Azam were given conditions after being awarded the new spectrum to ensure their mobile broadband services reach 60 per cent of the population by 2021, rising to 90 per cent by 2024.

Vodacom Tanzania Plc chairman Ali Mufuruki said in a statement that the success in the auction is a progressive step for both the Country and economy.

"It is transformative from a broadband access perspective and the planned utilization of the assigned spectrum will enable Vodacom to measurably contribute to the Country's mobile broadband infrastructure that is a critical element of economic development as noted in the National Information Communications and Technology Policy, 2016," said Mr Mufuruki.

Vodacom Tanzania also plans to use the 700 MHz spectrum to roll out fourth generation (4G) services to more towns and cities in the country.

"This enables us to put into action our plans to accelerate increased coverage and provision of high-speed mobile broadband, supporting a superior 4G data user experience across the Country", says Diego Gutierrez, Vodacom Group chief operating officer.

http://www.thecitizen.co.tz/News/Business/1840414-4631538-fwleew/index.html
 
Usemalo ni kweli, nimetahadharisha tu.. Ili awapate wazoefu na makorokocho ya telecom, kuanzia POWER, Transmission, Core network, billing, marketing etc lazima awapiku watangulizi wake by far.... Halotel, Smart, si unajua mishahara ipoje..!!?....

Pamoja kiongozi..
 
Back
Top Bottom