Hivi alichofanya Azam sio kosa? Mimi naona ni kutaka kupata pesa kwa NJIA ya udanganyifu

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
909
1,000
Habar wadau

Leo katika pita pita zangu nimefanikiwa kumsikia meneja wa Kitengo cha huduma kwa Wateja akifafanua juu ya bei ya vifurush na punguzo walilo toa
Kusema kweli Azam wanajiona wao smart Sana alafu watanzania wote tunao tumia vidurush vyao wajinga

Azam katangaza kupunguza bei ya vidurush wakat ukwel ni kwamba ameongea bei kwenye vidurush na kingamuz cha azam ili kiwe na maana lazima ununue kifurush cha sh20000 ili uweze kuangalia mipira na Channel zingine za kawaida na ukilipia 13000 utaweza kuangalia azam 1 na two pekee na sinema zetu huto weza kuangalia mchezo wowote na ukilipia elf 8 ambayo ilikua elf 10 huto Pata hata azam one two wala sinema zetu

Kama unaakili utangundua azam wamepandisha bei vifurush na wala hawajapunguza chochote kile mim binafs huu naona ni utapel
 
dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
2,966
2,000
Ya kweli in reality, kapandisha ila anatudanganya kwamba kashusha bei ya vifurushi, mm nilikuwa najua elfu tano imepungua ya nyama choma kumbe ndo hatari
 
David Moyo

Verified Member
Nov 6, 2020
373
500
Wanataka kupiga pesa mkuu. Lakini wanatakiwa wajifikirie mara mbili kwa hivyo vifurushi vyao. Aaah
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,424
2,000
Baziiika ni Wizi, Azam wanatangaza Uongo wametumia mwanya uleule wa kusubiri Serikali iwe bizze na Uchaguzi Mkuuu kupitisha Wizi wa mchana kama ilivyo kwa Cement au Sukari.
Narudia AZAM mmepandisha bei ya Vifurushi halafu mnatangazia Umma Uongo Uongo wenu. Its very Unproffesional, Kifurushi kutoka 18,000 mpaka 20,000/ halafu mnasema mmeshusha bei. siyo jambo la kupita hivi hivi pasipo maelezo kwa wateja.
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,220
2,000
Habar wadau

Leo katika pita pita zangu nimefanikiwa kumsikia meneja wa Kitengo cha huduma kwa Wateja akifafanua juu ya bei ya vifurush na punguzo walilo toa
Kusema kweli Azam wanajiona wao smart Sana alafu watanzania wote tunao tumia vidurush vyao wajinga

Azam katangaza kupunguza bei ya vidurush wakat ukwel ni kwamba ameongea bei kwenye vidurush na kingamuz cha azam ili kiwe na maana lazima ununue kifurush cha sh20000 ili uweze kuangalia mipira na Channel zingine za kawaida na ukilipia 13000 utaweza kuangalia azam 1 na two pekee na sinema zetu huto weza kuangalia mchezo wowote na ukilipia elf 8 ambayo ilikua elf 10 huto Pata hata azam one two wala sinema zetu

Kama unaakili utangundua azam wamepandisha bei vifurush na wala hawajapunguza chochote kile mim binafs huu naona ni utapel
Ina maana ili uangalie mpira sasa hivi ni elfu 20?
 
option

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
1,798
2,000
Watakua wamepandisha bei za kuangalia mpira kufidia zile camera walizonunua naona ni mpya
 
Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
13,679
2,000
Apelekwe Tume ya Ushindani (FCC) kwa kutoa tangazo lililo tofauti na huduma halisi
 
bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
6,552
2,000
Mnapiga makele sana; hako ka 2000# kanawauma kinoma, Wa DSTV tusemaje sasa
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
21,776
2,000
Ni utapeli sawa, lakini chakufanyanhapo ni kuacha kutumia na kutumia vingine ili wajifunze adabu
 
Mc cane

JF-Expert Member
May 18, 2018
5,228
2,000
Kibiashara kupandisha bei ni haki yao

Kosa wanalofanya ni kutudanganya wateja wameshusha bei

Mimi walianza kunikera mwaka jana walipoondoa Chanel ya Manchester Utd TV bila maelezo
Habar wadau

Leo katika pita pita zangu nimefanikiwa kumsikia meneja wa Kitengo cha huduma kwa Wateja akifafanua juu ya bei ya vifurush na punguzo walilo toa
Kusema kweli Azam wanajiona wao smart Sana alafu watanzania wote tunao tumia vidurush vyao wajinga

Azam katangaza kupunguza bei ya vidurush wakat ukwel ni kwamba ameongea bei kwenye vidurush na kingamuz cha azam ili kiwe na maana lazima ununue kifurush cha sh20000 ili uweze kuangalia mipira na Channel zingine za kawaida na ukilipia 13000 utaweza kuangalia azam 1 na two pekee na sinema zetu huto weza kuangalia mchezo wowote na ukilipia elf 8 ambayo ilikua elf 10 huto Pata hata azam one two wala sinema zetu

Kama unaakili utangundua azam wamepandisha bei vifurush na wala hawajapunguza chochote kile mim binafs huu naona ni utapel
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom