Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

and she is PHAT. Macellulite kibao halafu mwili una rangirangi kama rainbow.

GT upo wapi??

she is nowhere near PHAT! acha kuwa brain washed, sisi waafrika tunapenda totoz zetu this size!
also hayo macelulite ndio mwake hasa, ni kama mistari ya utamu!

afu sasa hizo rangi kama rainbow ndio zinafanya paja la mtoto wa kiafrika livutie, sio mtu unamfunua paja kama mkono, sasa mwanaume utashtuka na nini, lazima ukifunia paja ukute rangi ambayo haipigwipigwi na jua, ukifunua kifua ranngi tofauti na mkono, ndio inaleta raha! sasa paja rangi sawa na ugoko hata stimu hupati!
 
Dear Aunt Ezekiel, You looks Good and I wish you Good lucky in your carrier and please be carefull with Mapedeshee wa uongo who just want uroda then dump you. Big up sana.
From, Sweatface Entertainment
ushauri wako umechelewa sana,huyo utamu hapo kwishney na hao mapedeshee wamepasiana mpaka wachezaji timu imekwisha,wanaoingia hapo sasa ni wakujawakuja hivi hapo town.
 
attachment.php

Aunt Ezekiel na Jack Pemba wakila raha enzi hizo anachipukia kwenye fani
attachment.php

mmh inaonekana Aunt Ezekiel ni mzuri sana kwenye mambo ya mahaba.
attachment.php

Enzi hizo akiwa kipotabo kabla ya kuanza kula vinono vya wa nono.
attachment.php

hapa alikuwa anaonekana bado mchamba mchamba anaenda gwasumba na teneti sijui la wajawazito or ?

du kama alianzia kwa hawa jamaa basi kachujuka imebaki sura tu
 
Mimi sioni huo mvuto wa kipekee unaoongelewa hapa kwa huyu mwanamke, angeweka na picha aliyovaa kiheshima kama gauni refu tuone mvuto wake kama ni wa kweli au anaforce. mwanamke mwenye heshima huwezi kuvaa hivo ukawa huru, ila huyu anaonekana yuko sokoni full.
 
Duh nilikuwa sijaona wakati akiwa mshamba ona basi alivyokuwa enzi hizo jamani mimi naamini uzuri au mvuto mtu anazaliwa nao sasa iweje wakati huo alikuwa na sura ya kufa leo awe na mvuto???Jamani wanawake wa bongo acheni kujibadilisha usiku mchana mtaumbuka!!!
 
du kama alianzia kwa hawa jamaa basi kachujuka imebaki sura tu

Hivi nilikuwa nataka kutowa lawama kwa mleta hii picha ,Nilitaka kusema sasa mnaanza kuharibu Jf kuwanadi wapopo (Nigeria) hebu nikulizeni huyu binti na mshikaji wake wana asili ya Kinigeria ?
 
Hebu nielewesheni huyu ni mwanamke au transvestite? Naona jina lake ni Ezekiel lakini munavomjadili kama mwanamke!

Huyo ni mwanamke, sema tu hilo jina la Ezekiel alipepewa utotoni kutokana na kupenda sana michezo ya kiume.
 
Duh nilikuwa sijaona wakati akiwa mshamba ona basi alivyokuwa enzi hizo jamani mimi naamini uzuri au mvuto mtu anazaliwa nao sasa iweje wakati huo alikuwa na sura ya kufa leo awe na mvuto???Jamani wanawake wa bongo acheni kujibadilisha usiku mchana mtaumbuka!!!

hahaha unachekesha wewe !!
 
mh, nimeshtuka kusoma "Aunt Ezekiel, nilidhani (Shoga)kumbe ni mwanamke???.au nimechanganya manake sura za wanaume wengine zimepitiliza uzuri!...
 
du kama alianzia kwa hawa jamaa basi kachujuka imebaki sura tu


,,,,,Naona kapiga DIRA la bei bweteee,yupo na MUZEE Jack Pemba,thatha huo ulimi mboni KIMEO kinafumba miso,inakuaje au ndo mambo ya kusikilizia mautamu???,,,,,SUPERSTAR bongo.
 
acheni kupaisha flag wakati mtoto mwenye T.B.S za ndani hana..lol guy
 
....ukigusa tu.... hata na soksi; hali yako inakuwa tete!!!

Mkuu Bulesi, kauli hii imenichekesha saaaana!

Mdada kweli ana ka figure kazuri na kanaita kimtindo lkn sura si nzuri ki viiiile!

Hizo picha nani alimpiga na kwa lengo lipi hasa...au ndo ile inayosemwa kuwa 'biashara matangazo'!?
 
Kweli huyu mtoto mzuri ila ndo hivyo kama mlivyosema wadau.....PESA mbele mapenzi baadae.
 
One more thing, anakila dalili ya kuelekea kwenye kupiga picha chafu...maanake kama amekosa aibu kwa aliyempiga picha hizi basi hashindwi kwenda hatua nyingine kubwa zaidi...MTOTO WA KIKE sharti ujihifadhi bwana sio kila mtu akujue ukoje kwenye maungo yako.....eeh bwana asa hapa mi si inatosha kwenda kumalizia shida zangu TOILET
 
ni kweli ni msichana mzuri.....
Angekuwa sio mchafu hata mimi ningemtamani.

Huyo Bw. Ndugu nae amechangia kumharibu huyu mtoto! Msichana wa bongo ukishamsifia, matatizo huanza hapo hapo on the spot, wengine hutamani hata kuvua nguo ili waonekane vizuri!!
 
Back
Top Bottom