Attention: Kuwa makini na member huyu

Attention: Kuwa makini na member huyu

dah! Mkuu mwisho wa wiki umekaaje huko.?

Slave weekend bomba kichizi kama ndizi! Nilikuwa kwenye birthday ya braza 'tall' ikaisha saa 5.30 usiku, ilipofika saa 6.00 usiku leo, ndipo tukaanza birthday ya dogo PETIT.
 
Last edited by a moderator:
Mi nahisi kuna watu wana matatizo ya akili jamani.
Yaan haiingii akilini mtu unaingia mtandaoni kuanza kuwakejeli wengine, tena pengine kwa kutumia ID tofauti.
Mradi tu uwakere basi ndo roho yako inatulia . . . na si ajabu unaanza kuwaenjoy tena kwa ID nyingine!
Jitu zima kabisa na akili yako . . . .ni bangi ndo zinakutumeni hivyo au??
Sasa hapa mtandaoni unapata faida gani??

Watu wa namna hii ukiwatathmini vizuri utakuta ndo wale wachawi wanaosumbuaga wenzao mitaani kwao.
Usione mtu kafanya vizuri we kishipa shiiiiiii kishakusimama na kihoro chako mbioooo kwenda kupiga juju wenzio kwa roho yako mbaya . . . . ptuuuuuuu!!

Sasa naona sijui mtaani uwanja umekuwa mdogo sana mpaka umeamua uzee wako wa busara uuhamishie mtandaoni
Hovyoooooo!!

Finally, moderators wanaijua/zijua vizuri sana tu ID/IDs zinazofanya haka kamchezo kachafu ila wamepoa eti mpaka member areport . . . thats not a deffence. Tukiachana na comments, mpaka thread inafika jukwaani mnakuwa mmeshaiona ila mnafanya makusudi tu. Mfano . . .ni nani asiyejua kuwa MzunguMndali anamwandama Madam B kila mara kwa kumuanzishia threads za ajabu ajabu mara sijui ameota kafa, mara arest in peace . . . Buchanan hizo hamzioni au mnajua kuona matusi tu na kutoa ban??? Kama vile haitoshi huyo huyo mzungu wenu kaenda kuanzisha thread ya kushangilia kuwasababishia ban wenzake then akamalizia na kumwambia Chilli arest in server . . . inamaana nyie hayo makusudi hamyaoni . . . au kuna agenda gani kwenye hiyo ID??? Cha kushangaza kama sio kuchekesha eti mheshimiwa Buchanan anamquote Madam B na kumwambia eti kumtaja mtu kuwa anakusababishia ban sio vizuri . . . REALLY????

Haijaniigia akilini kabisa na hizo ban mnazotoa for naziona ni unreasonable!
 
Last edited by a moderator:
JF hakuna hekima wala busara. Moderators wamepitwa na wakati. Mambo ya ban na sensor za maandiko ni ya zama za kiza na udikteta, zama za nyerere.

Hizi ni zama za dot com na vidole (digital) naona kupigana ban ni ujinga usio mfano. Kuna nini cha kuficha au kujificha kwenye mtandao zama hizi? Ni nani awezae kuingia kwenye mtandao ambae hajui uchi ni nini? Au zuri na baya ni lipi?

Wacha watu waongee watakavyo, zaidi mkiona cha kukera muelimishane na sio mambo ya udikteta wa kijinga wa kujifanya ni mungu watu kwa kushika marungu ya kuwatandika ban wengine.

Huyo mnaemsema sijasoma post zake lakini nasema hakuna anaestahiki ban kwenye mitandao ya kijamii, ama upende na uendelee kuwepo ama uondoke mwenyewe ama ubaki kuzidi kuelimisha wengine.

Moderators na waanzilishi wa JF ni watu wa ajabu sana kwa kuendekeza udikteta. Sijui watu kama hawa wanakuwa wamesoma nini katika dunia ya sasa? Akili na fikra zao bado ziko nyuma sana. Ikiwa Tanzania ndio hata huku kwenye mitandao ya kijamii tunaona upumbavu wa kulambana ban, mnategemea nini kwa wale wenye madaraka ya vyombo vya habari? Wanaweza kufunga au kumfungia yeyote na hakuna wa kutetea. Ikiwa wenyewe mnaojidai eti "where we dare to talk openly" mnashindwa kutimiza mnachoki-kisalisha. Unafik na ujinga tu ndio uliowajaa mamoderator na wanaojifanya miungu ya JF. Ukweli unabaki kuwa ukweli.

naunga mkono hoja
 
Asante Mungu,
Limbwata nililompa Shoga angu limefanya kazi
.

Ehe sasa mbona majina yenu siyaoni chacha?
Hebu rekebisha bhana.
Nataka nicheze Twist na wewe bhana.

1.limbwata itakuwa imehusika kweli. 2.kuona majina yetu sio tatizo kwa sasa tatizo ni kufika tar 26 bila kulipa 3.wakati unacheza twist na mimi dadayo Evelyn Salt atakuwa wapi? Samahani aisee usije ukawa nawe kama yule mwarabu wa dubai ukanisababishia BAN toka kwa my waifu.
 
Last edited by a moderator:
Mi nahisi kuna watu wana matatizo ya akili jamani.Yaan haiingii akilini mtu unaingia mtandaoni kuanza kuwakejeli wengine, tena pengine kwa kutumia ID tofauti.Mradi tu uwakere basi ndo roho yako inatulia . . . na si ajabu unaanza kuwaenjoy tena kwa ID nyingine!Jitu zima kabisa na akili yako . . . .ni bangi ndo zinakutumeni hivyo au??Sasa hapa mtandaoni unapata faida gani??Watu wa namna hii ukiwatathmini vizuri utakuta ndo wale wachawi wanaosumbuaga wenzao mitaani kwao.Usione mtu kafanya vizuri we kishipa shiiiiiii kishakusimama na kihoro chako mbioooo kwenda kupiga juju wenzio kwa roho yako mbaya . . . . ptuuuuuuu!!Sasa naona sijui mtaani uwanja umekuwa mdogo sana mpaka umeamua uzee wako wa busara uuhamishie mtandaoniHovyoooooo!!Finally, moderators wanaijua/zijua vizuri sana tu ID/IDs zinazofanya haka kamchezo kachafu ila wamepoa eti mpaka member areport . . . thats not a deffence. Tukiachana na comments, mpaka thread inafika jukwaani mnakuwa mmeshaiona ila mnafanya makusudi tu. Mfano . . .ni nani asiyejua kuwa MzunguMndali anamwandama Madam B kila mara kwa kumuanzishia threads za ajabu ajabu mara sijui ameota kafa, mara arest in peace . . . Buchanan hizo hamzioni au mnajua kuona matusi tu na kutoa ban??? Kama vile haitoshi huyo huyo mzungu wenu kaenda kuanzisha thread ya kushangilia kuwasababishia ban wenzake then akamalizia na kumwambia Chilli arest in server . . . inamaana nyie hayo makusudi hamyaoni . . . au kuna agenda gani kwenye hiyo ID??? Cha kushangaza kama sio kuchekesha eti mheshimiwa Buchanan anamquote Madam B na kumwambia eti kumtaja mtu kuwa anakusababishia ban sio vizuri . . . REALLY????Haijaniigia akilini kabisa na hizo ban mnazotoa for naziona ni unreasonable!
Mkuu uwe unabonyeza "Report Abuse" ukiona jambo lolote usilolipenda, esp matusi/lugha ya kejeli, etc ili hatua ya haraka zaidi ichukuliwe badala ya ku-mention kila wakati!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu uwe unabonyeza "Report Abuse" ukiona jambo lolote usilolipenda, esp matusi/lugha ya kejeli, etc ili hatua ya haraka zaidi ichukuliwe badala ya ku-mention kila wakati!
Kwa wabonyeza kitufe hicho ni sawa na mtoto wa mwisho kwenye familia ambaye yeye siku zote huwa ni wa kuwasemea wengine. Kila mtu humu anajuwa sheria za kupigwa ban. So hata kama mtu kakutukana, we mjibu kwa busara ataacha mwenyewe. Kula ban unajitakia mwenyewe, kwa nini utukane? Ukipigwa ban unaanza kulalama mwenye jina la kabila jeupe kakupigisha ban, kwani ulichoandika kakuandikia? Si umeandika mwenyewe? Ina maana wewe huwezi kujikontroo? Yaani kama remote na TV au redio, uskibonyeza stop, inastop, ukibonyeza play, inaplay... etc etc. Hii maana yake akili ya TV au redio ipo kwenye remote. Sasa kwenu nyie ina maana akili zenu zipo kw huyo anayewasababishia ban, wenyewe hamuwezi kujiamulia...SHAME ON YOU.... Kwa nijuavyo GREAT THINKER huwezi endeshwa hivyo, kama unaendeshwa YOU ARE NOT THINKING. Mtake msitake hayo ndo makavu live yenu....
 
Mi nahisi kuna watu wana matatizo ya akili jamani.
Yaan haiingii akilini mtu unaingia mtandaoni kuanza kuwakejeli wengine, tena pengine kwa kutumia ID tofauti.
Mradi tu uwakere basi ndo roho yako inatulia . . . na si ajabu unaanza kuwaenjoy tena kwa ID nyingine!
Jitu zima kabisa na akili yako . . . .ni bangi ndo zinakutumeni hivyo au??
Sasa hapa mtandaoni unapata faida gani??

Watu wa namna hii ukiwatathmini vizuri utakuta ndo wale wachawi wanaosumbuaga wenzao mitaani kwao.
Usione mtu kafanya vizuri we kishipa shiiiiiii kishakusimama na kihoro chako mbioooo kwenda kupiga juju wenzio kwa roho yako mbaya . . . . ptuuuuuuu!!

Sasa naona sijui mtaani uwanja umekuwa mdogo sana mpaka umeamua uzee wako wa busara uuhamishie mtandaoni
Hovyoooooo!!

Finally, moderators wanaijua/zijua vizuri sana tu ID/IDs zinazofanya haka kamchezo kachafu ila wamepoa eti mpaka member areport . . . thats not a deffence. Tukiachana na comments, mpaka thread inafika jukwaani mnakuwa mmeshaiona ila mnafanya makusudi tu. Mfano . . .ni nani asiyejua kuwa MzunguMndali anamwandama Madame B kila mara kwa kumuanzishia threads za ajabu ajabu mara sijui ameota kafa, mara arest in peace . . . Buchanan hizo hamzioni au mnajua kuona matusi tu na kutoa ban??? Kama vile haitoshi huyo huyo mzungu wenu kaenda kuanzisha thread ya kushangilia kuwasababishia ban wenzake then akamalizia na kumwambia Chilli arest in server . . . inamaana nyie hayo makusudi hamyaoni . . . au kuna agenda gani kwenye hiyo ID??? Cha kushangaza kama sio kuchekesha eti mheshimiwa Buchanan anamquote Madame B na kumwambia eti kumtaja mtu kuwa anakusababishia ban sio vizuri . . . REALLY????

Haijaniigia akilini kabisa na hizo ban mnazotoa for naziona ni unreasonable!

Kipipi nashukuru kama umeliona hilo.
Huyo MzunguMndali kutwa kuniandama mimi mara Madame B nimekufa,
mara sijui Ameniota nafanyaje,mi namuangalia tu,
ila yeye kutaja wenzake we Buchanan unaona sawa ila mie nikimtaja unaona nimekosea,
afu unasema tubonyeze Report abuse.
Ina mana pale aliponitaja mimi hujapaona ila mimi nilipomtaja ndipo umepaona?
Acheni hzo,kama MzunguMndali ni Mamluki tuambieni tujue.
Sasa hv CC nzima tumemuhara kwa tabia yake.

Nawe MzunguMndali kama unataka bifu niambie sio kila siku kuniandama,
mimi bifu naliweza tena zaidi ya Dr. Dre na Chris Brown.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wabonyeza kitufe hicho ni sawa na mtoto wa mwisho kwenye familia ambaye yeye siku zote huwa ni wa kuwasemea wengine. Kila mtu humu anajuwa sheria za kupigwa ban. So hata kama mtu kakutukana, we mjibu kwa busara ataacha mwenyewe. Kula ban unajitakia mwenyewe, kwa nini utukane? Ukipigwa ban unaanza kulalama mwenye jina la kabila jeupe kakupigisha ban, kwani ulichoandika kakuandikia? Si umeandika mwenyewe? Ina maana wewe huwezi kujikontroo? Yaani kama remote na TV au redio, uskibonyeza stop, inastop, ukibonyeza play, inaplay... etc etc. Hii maana yake akili ya TV au redio ipo kwenye remote. Sasa kwenu nyie ina maana akili zenu zipo kw huyo anayewasababishia ban, wenyewe hamuwezi kujiamulia...SHAME ON YOU.... Kwa nijuavyo GREAT THINKER huwezi endeshwa hivyo, kama unaendeshwa YOU ARE NOT THINKING. Mtake msitake hayo ndo makavu live yenu....

Maliza hapo halafu uje na liID lako la kutafutia watu ban. Walewale!!
 
Kipipi nashukuru kama umeliona hilo.
Huyo MzunguMndali kutwa kuniandama mimi mara Madame B nimekufa,
mara sijui Ameniota nafanyaje,mi namuangalia tu,
ila yeye kutaja wenzake we Buchanan unaona sawa ila mie nikimtaja unaona nimekosea,
afu unasema tubonyeze Report abuse.
Ina mana pale aliponitaja mimi hujapaona ila mimi nilipomtaja ndipo umepaona?
Acheni hzo,kama MzunguMndali ni Mamluki tuambieni tujue.
Sasa hv CC nzima tumemuhara kwa tabia yake.

Nawe MzunguMndali kama unataka bifu niambie sio kila siku kuniandama,
mimi bifu naliweza tena zaidi ya Dr. Dre na Chris Brown.

hivi kuna uwezekano wa mod kuwa na kaID kake ka pembeni? Just curiosity.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wabonyeza kitufe hicho ni sawa na mtoto wa mwisho kwenye familia ambaye yeye siku zote huwa ni wa kuwasemea wengine. Kila mtu humu anajuwa sheria za kupigwa ban. So hata kama mtu kakutukana, we mjibu kwa busara ataacha mwenyewe. Kula ban unajitakia mwenyewe, kwa nini utukane? Ukipigwa ban unaanza kulalama mwenye jina la kabila jeupe kakupigisha ban, kwani ulichoandika kakuandikia? Si umeandika mwenyewe? Ina maana wewe huwezi kujikontroo? Yaani kama remote na TV au redio, uskibonyeza stop, inastop, ukibonyeza play, inaplay... etc etc. Hii maana yake akili ya TV au redio ipo kwenye remote. Sasa kwenu nyie ina maana akili zenu zipo kw huyo anayewasababishia ban, wenyewe hamuwezi kujiamulia...SHAME ON YOU.... Kwa nijuavyo GREAT THINKER huwezi endeshwa hivyo, kama unaendeshwa YOU ARE NOT THINKING. Mtake msitake hayo ndo makavu live yenu....
Kwa kurahisisha zaidi unamuweka kwenye ignore list ili usizione kabisa hizo post zake zinazokufanya utukane. kila kitu kipo wazi sijui kwa nini hatuelewi
 
Back
Top Bottom