Attention: Kuwa makini na member huyu

Attention: Kuwa makini na member huyu

Upepo tu utapita. Ila hawa moderator wanatakiwa wawe kama mahakama, sio mtu akiripotiwa tu wana mpa nyundo, hapo ndio naona wanapo boronga.

Umeona ee!
Ndo mana wengine wanaona hakuna umuhimu wa Ku-report wanaamua kulivagaa, walianzishe la kighetogheto.
Kitu Msambweni kwa Akina Chibo Mkanyageni.
Kudadadeki,
kufa hakuna breki.
 
Yap yap ndo maana nakupenda my dear Madame B una mahakili sana alafu kuna mi mtu tu inataka kukuharibia na miroho yao mibaya kama ya nyoka. One love
Umeona ee!
Ndo mana wengine wanaona hakuna umuhimu wa Ku-report wanaamua kulivagaa, walianzishe la kighetogheto.
Kitu Msambweni kwa Akina Chibo Mkanyageni.
Kudadadeki,
kufa hakuna breki.
 
Last edited by a moderator:
Leo hujaniota MzunguMndali?
Maana kila siku lazima uniote mara nimekufa mara tunatiana haya ile mimba ambayo uliota tuko kitandani pamoja,nimeshajifungua,
Njoo utoe huduma kwa mtoto.

Hee! Mwanchekesha! Mambo mpz.
 
Leo hujaniota MzunguMndali?
Maana kila siku lazima uniote mara nimekufa mara tunatiana haya ile mimba ambayo uliota tuko kitandani pamoja,nimeshajifungua,
Njoo utoe huduma kwa mtoto.

Hahahaaaa....nitumie namba yako ya simu Madame B niwe natuma pesa kwa ajili ya matunzo ya mtoto...
 
Last edited by a moderator:
Leo hujaniota MzunguMndali?
Maana kila siku lazima uniote mara nimekufa mara tunatiana haya ile mimba ambayo uliota tuko kitandani pamoja,nimeshajifungua,
Njoo utoe huduma kwa mtoto.

kwi kwi kwi kwi kwi!! Akiotaga hivi huwa Buchanan haoni, ole wako wewe uote hivi, unachinjiwa baharini.
 
Last edited by a moderator:
Kwenda zako na Upukupuku wako wa Umaskini.
Mie wa ghali wewe,
au unanichukulia poa!
Jiangalie wewe.

Haaaa....sasa mutoto muzuri kama wewe inabidi upate mutu mkubwa kama mimi!
Haya,twende PM,naona hapa unaogopa Chimbuvu atasikia.
 
Last edited by a moderator:
ilikua zamani siku hizi naitwa tupa tupa..tatizo sio noti tatizo ni wewe mtumiaji.kula mayii pesa ikuzoe mpenzi.

pesa ilinifanya nikupende na pesa itanifanya nikuache!!!
i love u Slave
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom