Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Mkuu uwe unabonyeza "Report Abuse" ukiona jambo lolote usilolipenda, esp matusi/lugha ya kejeli, etc ili hatua ya haraka zaidi ichukuliwe badala ya ku-mention kila wakati!
Mmeng'ang'ania report abuse tu badala ya kuwa considerate na threads zinazorushwa!
Inamaana comments zote ambazo huwa mnadelete zinakuwa zimereportiwa???
Mbona kwenye issue zingine mnakuwa macho sana . . . .?
Tumeshakuwa watoto sasa ambao kila saa tunakimbilia kushtaki tu!
Ungekuwa umeandamwa wewe au wenzio tena kwa mara zote hizo mngeshapiga ban bila abuse report.
Ila kwa sasa hivi mnajifanya kazi yenu ni kusubiria reports . . . sasa sijui kazi yenu ndo hiyo tu?