Attention: Kuwa makini na member huyu

Attention: Kuwa makini na member huyu

Napita tuuu..... Ngoja nichakachue ni tambue ukwelu ni upi.... :coffee:
 
Madame B nakuambia white party sikuwa na mpango wa kwenda ila dada yako amenishawishi na sasa nitakuwepo,maana kelele ndani zimezidi nami sipendi kumuuzi my Evelyn Salt

Asante Mungu,
Limbwata nililompa Shoga angu limefanya kazi
.

Ehe sasa mbona majina yenu siyaoni chacha?
Hebu rekebisha bhana.
Nataka nicheze Twist na wewe bhana.
 
Last edited by a moderator:
Kabila weupe ni warangi,wanyaturu,wasukuma-waarab wa shinyanga na wasambaa pekee,wapemba,wambulu
 
mtu apataye BAN huitaka ye mwenyewe...kwa nini utukane???
 
Back
Top Bottom