landrover

  1. darautobroker

    Car4Sale Discovery 4 inauzwa bei kitonga huku

    Bei/Price🏷️: TSH 42M Call📞0747 999 927 LAND ROVER DISCOVERY 4 Year: 2010 Engine: 2983Cc Mileage: 52,000+ Fuel Used⛽: DIESEL Transmission: AUTO ✅Clean Interior ✅In Good Condition ✅Exchange Possible NB 📌 Iko Kwenye Hali Nzuri Haijawahi Kurudiwa Rangi, Kupata Ajali Wala Kuguswa Kwa Upande Wa...
  2. N

    Scania, Heavy equipment na Landrover kutoka UK

    Nina anzisha huu maalumu kwa mtu yoyote anayetafuta vitu kutoka UK. Hasa magari makubwa(HGVs), heavy equipment, agricultural equipment na magari madogo kama Range Rover, for a reasonable price but good condition. Nina heshimu siri za mteja(customer confidentiality) Contact: WhatsApp +44...
  3. Gushleviv

    Landrover Discovery na Majanga ya Moto

    Salaam Wadau, Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na mfululizo wa hayo Magari kwa hapa Bongo(TZ) kuteketea kwa Moto(Kuungua). Tatizo ni nini? Binafsi nimepoteza sana Mvuto na hayo Magari. Wataalam kina JituMirabaMinne toeni maoni.
  4. JituMirabaMinne

    Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

    Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa. Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine, Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon monoxide pamoja na Oxygen gas. Engine za Diesel hutoa NOX, Oxygen gas pamoja na Carbon dioxide...
  5. M

    Landrover 09 (marufu rover ya Nyerere) na land rover discovery za sasa wapi watengenezaji wanakosea nahisi kutafta tena 09

    Nipo tayari kuitwa mshamba, nimezaliwa nimeikuta landrover 09 na hadi Leo IPO kule kijijini, lakini landrover discovery, defender ni mbovu sana trip pori trip gereji wapi watengenezaji wanakosea sasa, kifupi napenda brand najiona kutafta rover 09 tena siku za usoni, wapi ntakuwa nimekosea
  6. K

    Nahitaji Landrover Diffender used kwa ajili ya kununua-hata kama imepaki

    Please nahitaju kununua Landrover Diffender iliyotumika, kama kuna mwenye nayo anirushie picha kisha tuongee biashara
  7. D

    Land Rover Discovery 4 - Ikoje hii gari, naomba uzoefu na ufafanuzi wake

    Naihusudu sana Discovery 4 angalau kwa muonekano na chapa yake ya Land Rover, japo nikiri sijawahi kuiendesha hivyo siijui kivile. Kama walivyo watu wengi wa ukanda wa Afrika Mashariki, tumekuwa tuikitumia magari ya mjapani haswa haya yaliochini ya kampuni iliyoanzishwa na Bwana Kiichiro...
  8. The only

    Nanunua Land Rover TDI

    Nanunua landrover TDI za zamani hata Namba A ,Burget yangu Tshs 1.5 - 4 milion integemeana na hali ya gari husika ,iwe tu inatembea mengine INBOX Asante
  9. N'yadikwa

    Ooh Landrover, I love you so much

    Ni wachache sana tunazielewa hizi mambo na utamu wake. Kwa wale ambao magari ni adventurous implement tunaelewana. NAOMBA PORI NIENDE
  10. Mawio

    Nahitaji engine ya LandRover 110 - 300 series

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=) Shukrani.
Back
Top Bottom