AutoGuru
Member
- Aug 10, 2023
- 33
- 68
01: Misfire
Hii inatokea kwenye magari mengi kwa sababu mbalimbali.
Kabla hujafungulishwa engine ukapigwa mpunga mrefu kwasababu ya changamoto hii jiridhishe kwanza kwa kufanya diagnostics na kukagua kwa msaada wa fundi mwaminifu kwenye vipengele tajwa hapa chini.
I. Mass Air_flow sensor. (MAF sensor) kama inatuma taarifa sahii kweye mfumo wa computer ya gari lako
II. Oxygen sensor(Iwe moja au mbili) zote kama pia zinatuma taarifa sahihi.
III. Catalytic converter. Kama imejaa masizi pia huleta changamo kama hio.
IV. Timing belt au chain kama pia haiko poa changamoto zitakuepo za kutosha.
Vingine kama plug, injector, throttle, coil etc hua weng wanakagua kwa sehem nimepita.
Kama hutakagua kila ktu kwa umakini hasa kwa magar yenye Modules nyingi utashusha sana engine badae tunaanza undergrade brands za watu. Na shida na ya fundi na ubahili wetu
Mafundi wapo je unaweza kuwalipa, haya unagarilako lenye ECU za kutosha unabadili components(i.e battery) kwenye gari hau ziregister na kuriprogram ECU nipo paleee kikitoboa ulichoweka kipya.