101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,217
Habari wakuu,
Mwishoni mwaka Jana niliagiza Mazda cx-5 2.2cc diesel ya mwaka 2015 maneno yalikuwa mengi sana before sijanunua hii gari,lakini Kwa kuwa professional yangu ni engeering nikasema wacha nicheck na watu wa ulaya nipate maelezo ya kina kuhusu hii gari na wenzetu Kenya hapo maana wao Kwa east Africa hii gari ni kama Toyota harrier vile na demio kwao ni kama IST hapa TZ.
Kwa kuangalia reviews za ulaya huko mtandao mjini YouTube nikapata ujuzi on how to handle Mazda cx-5
Naomba watu wajue hili kwanza kabla ya kukurupuka na kelele kuwa Mazda cx-5 ni gari ambayo haiwezi kuhimili mikiki mikiki ya mazingira yetu haya na kingine husema Mazda inachemsha sana na kuua engine mara ooh Mazda inataka mafuta safi na wengine wakanda mbali zaidi na kusema Mazda-5 inataka diesel yenye low sulphur content ambayo Kwa kitaalamu huitwa euro 4 diesel
Kabla sijaendelea kumbuka hii gari ndio best SUV duniani huko na ilishinda kuwa SUV Bora namba moja huko duniani Kwa mwaka 2017-2022 mfululizo pia hawa ndio walichochea Subaru kuja na design mpya ya Forester na Toyota kuja na design mpya ya Toyota highlander katika kipengele cha comfortablity, speed, acceleration, ground clearance, body design na exterior na interior design maana huko ndiko walikopigwa Subaru na toyota Kwa maana ipi Mazda anakupa vitu vyote vilivyopo Kwenye model za brand kubwa za magari let's say Toyota land cruiser LC series,bmw x series,Mercedes Benz E series na braebun katika gari ya kawaida kama Mazda cx-5
Haya ndio nilyojifunza huko mtandaoni katika tathmini za wataalam wa magari ulaya na Amerika
1. SPARE
Mazda cx-5 inataka spare original sio kanjanja siku hizi naona spare zipo na spare za injini inataka mpya sio za mtumba
2. EASY TO MAINTAIN
Oil ni 5w30 iwe Castro,liqui molly au Atlantic original zote la sivyo utaua pistoni na cylinder block
3. MAFUTA
Kweli inataka diesel safi ambayo ina low sulphur ambayo ndio hii tunatumia maana Kwa sasa duniani hakuna refinery inayoproduce diesel na petrol yenye zaidi ya 50g/mole au 10ppm Kwa sababu ya sera za mazingira kubalishwa duniani
4. SKY ACTIVE TECHNOLOGY
MAZDA CX-5 ina teknolojia kwenye engine na mafundi wengi walistruggle kuielewa kote duniani sio bongo tu,hata Kenya hapo mwanzoni walipambana sana mpaka wengine wakasafri mpaka soutn Africa kwenda kupata training ya teknolojia ya SKY ACTIVE ambayo Mazda anaitumia kote duniani
5. FUEL COMSUPTION
Hapa Mazda aliwatesa sana kinatoyota na brand zingine kubwa na ndio maana na hii gari na teknojia yao sky active imeifanya Mazda kuwa na gari zilizo na ulaji mzuri wa mafuta yaani kama safari ndefu na hamna kusimama wala kupunguza mwendo Kwa ajili ya matuta na tochi Mazda cx-5 inakupa 18-22km/L Kwa dereva mzuri iache ichanganye taratibu using'ang'anie acceleration pedal
6. COMPRESSION RATIO
Mazda CX-5 na nyinginezo zinazotumia sky active technology Zina compression ratio kubwa sawa nilisema compression ratio yaani uwiano wa mafuta kuchomwa vs umbali wa piston kurudi juu kugandamiza mafuta na na kuyachoma hii ni Kwa gari zote za petrol na diesel
7. CYLINDER DEACTIVATION TECHNOLOGY
Hii technology Kuna baadhi ya brand Tena kubwa kubwa walijaribu wakashindwa maana engine nyingi zilizingua ila Mazda ameweza kabisa kivipi cylinder deactivation Kwa lugha rahisi kama gari ina piston nne basi mbili huchoma mafuta na mbili husaidia kutoa moshi Kwa msaada wa EGR YAANI EXHAUST GAS RECYCLING hivyo baada ya umbali wa kilomita 80 Kuna sensor za joto na oil na coolant hupelekea taarifa kwenye ECU kuwa hizi piston zimepata joto sana hamsha hizi zilizo idle.
tuache hapo maana hii ni shule ndefu sana
8. TWIN TURBO AND VARIABLE INTAKE MANIFOLD
Hii ndio sababu Mazda CX-5 diesel na petrol na model nyingine za Mazda za diesel kuwa na nguvu,kuchanganya haraka Kwa gari za diesel kama ya petrol, low engine noise kama gari ya petrol yaani ukiikuta Mazda ya diesel za sasa hivi zinamlio mkubwa that means Kuna kitu hakiko sana either ni camshaft and timing chain imelika Kwa kutoweka oil sahihi au kiasi kidogo cha oil
9. DRIVING EXPERIENCE,INTERIOR SPACE,DESIGN AND ENTERTAIMENT
Mie ni mpenzi wa safari na muziki na entertainment zingine so hapa Mazda-5 inakupa mziki wa hali ya juu Kwa speaker za BOSE sound system ikiwa na speaker nane mziki umechujwa na unasikia chombo kimoja kimoja kilichopigwa na base ya kutosha huna haja ya kwenda Kwa dick sound ila hii sound system mara nyingi hupatikana kwenye MAZDA CX-5 XD VERSION space ya booty au trunk ni kubwa unaweka mashangazi kaja ya kutosha space ya ndani ya seat ni ya kutosha yaani unanyosha miguu unakuja wew na abiria wako.
10. STABILITY AND CONTROL
MAZDA Iko stable sana hasa zile za AWD maana mie zilikona za kutoka mageti ya darajani kuelekea uhasibi au bandarini mie huwa nalala na 100km/hr kama safari ndefu hapo lazima nikuache,steering wheel inarespond hara Kutoka na maamuzi ya dereva
11. COOLANT BYPASS
Yes of course hii ni tatizo Kwa maeneo yenye joto na hili likijitokeza majimbo ya kusini ya marekani ambapo Kuna hali ya juu ya joto na jangwa hivyo basi Mazda wali design coolant bypass za chuma(metallic) na kuwapa dealers wote wazifunge kwenye magari ila Kwa Yale majimbo ya kaskazini ya marekani hii hali haikujitokeza kwanini waliweka coolant za plastic huchelewa kupata ubaridi na kukifanya iwe na joto la kawaida ili ichanganye Kwa haraka maana ubaridi huongeza viscosity ya kimiminika ila wakasahau maeneo yenye joto
12. DPF (DIESEL PARTICULATE FILTER)
Watu wengi wamekuwa wakitishwa eti DPF ni tatizo tatizo kwangu mie hajawahi kuwa tatizo maana kwenye gari yangu huwa inajifanyania regeneration mara Kwa mara nimekuwa nikifuatilia
Ni salama zaidi kuiacha kuliko kufanya DPF delete maana Unaweza kuanzisha ugonjwa mwingine kwenye engine maana gari ya diese yenye DPF huwa exhaust yake kama ya petrol tu huwezi kukuta inamasizi meusi Yale maana Yale ni mabaki ya diese lambayo haijawa completely burned hivyo DPF huyachoma kabisa na kutoa gasi tu ambayo ni Nitrogen oxide (NOX) ambayo hunyonywa na masega Yale
13. ENGINE BAY
MAZDA CX-5 ina engine kubwa iliyokuwa compacted sehemu ndogo hivyo fundi lazima ajue kuwa ana deal na engine ambayo Iko very complex and compacted at smaller space Kwa maana hyo basi ukita kufungua vacuum pump lazima utoe battery ,hose za coolant na utoe baadhi ya cable za fuse box,Kwa hyo kama fundi kichwa maji atasahau kurudisha baadhi ya vitu mahala pake hivyo kuanzisha tatizo kingine.
14. MAZDA CX-5 ENGINE SENSOR
MAZDA CX-5 ni gari yenye sensor nyingi sana ndio maana lipotokea tatizo message kwenye dash board hutokea haraka na hukwambia Nini cha kufanya au kama issue ni kubwa engine na turbo huwa zinazima ili kuepusha parts nyingine zisiharibike na mara nyingi ukiona message ya vehicle engine malfunction ,au vehicle system malfunction usiendeshe gari park ili uokoe vifaa vingine vya engine ila kama message inasema vehicle system inspection required basi ujue ni tatizo la kawaida na Unaweza kufika Kwa fundi ukalitatua
15. DIAGNOSIS
Kwa wale mafundi nyundo please mzisiguse Mazda za mwaka 2012 na kuendelea mtaharibu gari za watu maana Mazda za sasa huwezi kuzitengeneza mpaka ufanye diagnosis na ECU itakwambia shida ipo wapi na fundi aanzie wapi
Kwa Leo naishia hapa I hope
umeelimika
Nakaribisha maswali
Karibuni