mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,192
Ni sheria gani inayosema viongozi wa serikali wanapanda ndege bure. Tuwekee hapa tuioneViongozi serikalini wanaotibiwa india watakuwa wanasafiri bure na hapo ndipo kodi ya Mtanzania itakavyotumika ovyo