choga mkuu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 283
- 110
Thanks
Qatar ilikuwa inamwaga saa moja Asubui na SAA nane mchana,Emirates SAA nane na SAA NNE usiku kila siku yaani nyomi,ukikubaliwa na Mungu chochote ufanyacho ni BARAKA tu.Hivi kumbe Emirates zilikuwa zinatua JNIA mbili kwa siku kipindi JK? Hilo nimelifahamu leo, seriously!!!
Halafu kweli bana hahahaMkuu si ulisikia tawi la crdb chato kabla ya kuanza Magu ndo alifanya tafiti? basi ujue na hilo tangazo na hiyo route inawezekana ni matokeo ya utafiti wa Magu! si unajua anajua kila kitu!
sawabho, POLE KWA KUOA MHA WA KWENU -HIVI HUKUWAONA WAHINDI NA WAARABU WAREMBO- UNGEENDA TU LUHUMBO
Dah.....watanzania wa kweli watapanda....wenye uchungu na nchi yao.....Yaani mtu aache Emirates, Qatar na Etihad zenye Warembo na Huduma nzuri vile aje kupanda ATC yenye Wahudumu wazembe hivyo. Halafu KQ pamoja na bidii zote za kutangaza na lobying washindwe ATCL iweze !!! Endeleeni kuongeza hasara.
Hapo Arusha nimekaa kwenye sekta ya utalii miaka 18 sijawahi kuona mtalii Muhindi hata wakati Pakistani Airways ilikuwa inatua KIA kupitia Bombay (Mumbai) toka KarachiUkienda huko kwa watalii wachache ndio wataongezeka...!!walikuwa hawaji partly because hakukuwa na direct flight.
Kwahiyo ulikuwa unashauri niniMzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Alafu ni comming or coming?
Hili tangazo huenda ni feki!!
Hii route itatusaidia sana kibiashara siyo ki utalii.Hapo Arusha nimekaa kwenye sekta ya utalii miaka 18 sijawahi kuona mtalii Muhindi hata wakati Pakistani Airways ilikuwa inatua KIA kupitia Bombay (Mumbai) toka Karachi
Wabishi hao hawatakuelewa!Swali la Kizushi Any Time Cancellation Limited (ATCL) wana ndege ngapi kwa ajili ya hiyo route? Tuanzie hapo? Na kati yenu nani aliwahi kupanda KQ direct flight from Nairobi hadi Bangkok ? Kama una majibu hayo jiulize kwa nini Emirates wanaruka Dar - Dubai- Mumbai those are the economics of airline trade! Itakwenda mara ngapi kwa wiki ukiwa na ndege moja? Kweli Biashara imevamiwa na Washamba mpaka kieleweke hiyo KQ it has has made loss of millions of dollars Mwaka Jana tu tena za wanahisa sio hii ATCL inayopata fedha kutoka kwa Doto tena za walipa kodi ! We call it going for glory! No research no right to comment ! Hata hiyo Air India it made a loss of 8 billion dolars halafu munaleta za kuleta kuhusu ATCL. KQ are partners with KLM and Air France you want to compete with them you are not serious !
Muda ndio utawashauri.Kwahiyo ulikuwa unashauri nini
Mimi si mtaalam wa masuala ya anga lakini navoona ndege sahihi ambayo ingepependeza zaid na gharama ndogo ingekuwa bombardier cs 300 kutokana uwezo na pia ndio kwanza tunaanza, pia penetration iwe katika price ndogo tu kwa point kuwa, wasafiri wengi wa hii njia kuwa wale wabahiri.
Uwezo cs
Maximum range 6117 km
Passenger capacity130 into two classes, 160 in one class
Distance ya kutoka DSM mpka Mumbai ni 4905 km ha kuna bakio LA kama km kadhaaa za ujazo
Wanagapi wanaoenda huko amabo watawezesha Shirika kujiendesha. Sina nia mbaya lakini unatakiwa kuwa Critical Thinker. Aidha, kuna ndege ngapi za kufanya hiyo route, yaani ndege moja tu ndo iwe mwenda-rudi - mwenda. ATCL inatakiwa kujiimarisha mikoani na nchi jirani ili iweze ku-feed Emirates ambao juzi wameonekana wakitafiti soko la Tanzania kwa kuleta ndege kubwa iliyotua Dar na kudanganya kuwa hali ya hewa Mauritius ilikuwa mbaya. Hakukuwa na hali ya hewa mbaya, bali walikuwa kwenye utafiti wale.Dah.....watanzania wa kweli watapanda....wenye uchungu na nchi yao.....
Basi kama huna cha kushauri kaa kimya kuliko kutumia mtandao vibaya kupinga kila kituMuda ndio utawashauri.