Mkuu
ritz nasikia Chizi alikuwepo hapo enzi hizo ATC kisha akafutwa kazi. Akafanya kazi Community Airline na baadaye ndio akateuliwa kuwa Mkuu wa ATCL!
Kwa hali hii na ufisadi huu hakika tunatakiwa tuwe na sheria kama za China! Shaba tu hapo manake ukienda kwenye utawala wa sheria huko wenye haki hawana haki wasikuwa na haki wanapewa haki!
Pia umefika muda wananchi tuanze kuwachapa viboko mafisadi kama hawa. Picha za mafisadi zibandikwe masokoni, vituo vya basi na sehemu zote zenye mikusanyiko ili tuwaone na kuwafahamu. Huyo Chizi mimi simfahamu nilikuwa nadhani ni yule Chiziii ambaye huwa namuona kwenye vyombo vya habari nyakati za mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM kumbe siye.