ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

ukipita sekta zote za serikali ndio utajua hii nchi tunaweza kujenga bara bara zetu wenyewe
 
Yaani bado unadiliki kusema tusikilize upande wa pili unamaanisha aliyosema Mwakyembe jana ni uongo?
Nimeamini mtu akizoea kula nyama za watu...............................
 
attachment.php

Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.

wamependeza lakini


ila hivi jamani jezi kama hizi mafundi wetu hawawezi kutengeneza? jamani mbona aibu hii,pale VETA wanatengeneza hizi jezi tena kwa bei rahisi zaidi,jamani watendaji tumsaidie raisi,hivi hata hili tunataka raisi aje asimamie utengenezaji wa jezi,mnapeleka china kwa bei kubwa tena kwa pesa ya walipa kodi
 
wamependeza lakini


ila hivi jamani jezi kama hizi mafundi wetu hawawezi kutengeneza? jamani mbona aibu hii,pale VETA wanatengeneza hizi jezi tena kwa bei rahisi zaidi,jamani watendaji tumsaidie raisi,hivi hata hili tunataka raisi aje asimamie utengenezaji wa jezi,mnapeleka china kwa bei kubwa tena kwa pesa ya walipa kodi

Kuna bwana hapa amesema kuwa hawa ni Cabin Crew students na hizo ndio uniforms zao, naona wote mmemuignore kabisa. Mtu anaweza kushawishika kuwa kwa watanzania uongo ni ukweli na ukweli ni uongo.

Ndio maana CCM wataendelea kutudanganya na kuwakamata vijidagaa ili muone wapo kazini kumbe wanateka akili zenu muwarudishe madarakani come 2015. Ni lini CCM wakafanya jambo kwa moyo wa dhati jamani.

Mwenzenu anachokifanya Mwakyembe hakinifanyi nitaaruki hata kidogo najua ni mkakati wa kudanganya wadanganyika ili muone wapo kazini.
 
celebrations%20jro_200_200.jpg


Uniform za ATCL cabin crew ni hizo hapo za brown na njanonjano km rangi ya 'twiga'.
 
Kweli hili shamba la Bibi kwa nini hata hakupewa Mustapha Asanali hiyo tenda ya ku-design hizo sare na kuzishona?
 
attachment.php

Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.

Wabunge pitisheni sheria ya kunyonga mafisadi,ndio ukombozi wa ukweli utapatikana
 
Mh, Uchungu mkubwa, ndo ile kodi ninaoyokatwa inafujwa namana hii? Mwakyembe tuletee huku huyo chizi tumchome moto.
 
mwakyembe anapayuka ili kujustify usanii wa kumuweka binamu yake. Mpaka cag atakapokagua hapo na kuthibitisha hayo matumizi ndo nitaamini. Amejumlisha gharama za safari na malazi ya hao maafisa kwenye uniform bila ya kueleza cost per unit uniform ni shs ngapi. Sasa mitanzania mijinga ikishaona tu inakurupuka na kusema huu ni ufisadi. Haiingii akilini maafisa wa shirika waende kushona nguo uchina halafu wakae huko huko kuzisubiria. Tupate taarifa kutoka upande wa pili ndio tufanye judgement. We hujiulizi kwa nini mwakyembe alikuwa anaongea kwa jazba na kutokwa na mapovu?? Anataka kuficha kukurupuka kwake.

nilihisi kuingia kwako toka 2010 utakuwa na akili kidogo
na akili zako unaweza shonesha uniform 17 pamoja na hao unaowattetea kukaa huko siku 45 ikafika doller 50,000 ...nahisi ulishiriki hako kamgao sio hivi hvii na watu kama nyie ndio mwakyembe kaapa amewaacha kwa makusudi anakuja kuwasafisha ...unajua ubaya iba na mwenzako basi matokeo yake yanabumbuluka kama hivi kizuri kula na ndugu yako unahisi walioyabumbulisha wako nje ??walikuwa humo humo na wenginne walikuwa wanakula nae swafiiiiiiiiii ......

Ninachoomba isiguswe tu atcl kuna mashirika mengi tu yanauhuni mkubwa zaidi na yako kwenye himaya yake aende bandari kama ajaangua kilio honarable
 
Inatisha, kwa kila moja 4,500,000/= approx. mmh! Au wametumia nyuzi zenye Tanzanite kushonea?
 
Ok
huyo bwana anaetetea doller 50,000 embu tumsaidie kwanza kimahesabu
50,000 *1600 =80,000,000 (wasiojua ni million themanini)
waliokaa huko siku 45 wawili @250 usd
250usd*45*2=22,500 usd hizi ni sawa na 22,500*1600=36,000,00o yaani million thelathini na sita /2
kila mmoja aliondoka na million 18,000...ok

million 80,000-36,000=44,000,000
tkt kwa watu wawili
doller 478 walipata discount *2 =956 appr 1000 usd/sawa na 1,600,000

million 44-milli 1.6
baki million 42.4 ok tufanye million 42

sasa basi na akili yako wewe unaetetea hili chukua 42,000,000/17=2,470,588 million@uniform

ok toa laki 470 kwa kila mtu peleka kwa dalali alietoa hilo dili usiulize wapi

470,000*17 =7990000 hizi za udalali

nchi gani inatengeneza nguo kwa million 2??ukiacha kwenu sumbawanga???
 
Nafikiri clouds wametoa fundisho kwa watu akuna watu washenzi na wahuni kama vyombo vya habari
kwa nini nasema hivi

kama mmesikia kibonde na fedhuli mwenzake kipindi cha jahazi juzi walivyokuwa wanatukana na kama umewasikia jana walichokuwa wa naongea ni wehu wakubwa ingawa nimempenda kibonde aliwahi kuhitimisha kwa kuomba msamaha mh mwakyembe kwa yale waliokuwa wanaongea mbaya zaidi alivyomshenzi akadai walilishwa sumu na baadhi wafanyakazi...hao ndio vyombo vya habari bwana NAPITA.co,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom