hata mimi nilijiuliza hivyo lakini rudi nyuma kidogo kwenye utangulizi na taarifa za awali. Nilivyoelewa mimi tatizo haliko kwenye mikopo ...
Killio chote cha marekebisho ya sheria kinaanzia hapa na kama unakumbuka jambo hili ndilo chimbuko la mgogoro mkubwa wa kisiasa Kenya.Hivi ni lazima kweli watu wote hawa wawajibike kwa rais? Tuchukuwe mfano moja tu ( Tafadhali ninatoa mifano ya mfumo na siongelei watu)
1-Waziri wa fedha anachakuliwa na rais kwa mapemzi yake mwenyewe bila kuulizwa umemtoa wapi huyo mtu unaetaka kumpa madaraka makubwa namna hiyo? raisi atajibu -kwa mamalaka niliyo nayo nitamteuwa mtu yeyote ninaeona anaenifaa ( siyo anaewafaa ?????) kuongoza ilimradi tu ni mbunge na kama siyo mbunge basi nitamfanya awe mbunge kwanza halafu nitampa mamalaka ninayotaka.Ukiangalia hapa rais hana kosa hata kidogo hata akimteuwa Mwanae- mfumo wetu huo??? hakuna wa kumhoji!!!!!
2-Katibu mkuu wizara ya Fedha- Anateuliwa na Rais kwa utashi wake tu- hakuna mtu wa kumhoji kwa uwazi wewe rais wetu umemchomoa wapi huyu mtu???? CV yake anayo rais na vyombo vyake basi.
3.Wakurugenzi wa idara na makamishina wao wote wizara ya fedha wanateuliwa na rais na vyombo vyake bila masawali
4.GAVANA WA BENKI KUU NA MANAIBU WAKE WANATEULIWA NA RAIS KWA UTASHI WAKE TU.Kwa hiyo nduguzanguni watu wote wanaoshikilia na kuamua mambo yote ya fedha ya watazania wote zaidi ya milioni 35 wanawajibika kwa mtu mmoja tu.
Ninataka tujiulize maswali mepesi sana kama yafuatayo ( ninaomba kurudia hapa simlengi mtu ninalenga mfumo tu)
a) Je huyu rais ni mungu?
b) Watu huwa wanaugua, Je raisi akiwa madarakani akaugua ugonjwa wa akili ambao siyo mwepesi kugundulika akaanza kutoa maamuzi ya mtu mgonjwa na kweli ni mgonjwa na hivyo hana kosa. je watendaji hawa watasema kwa nani kuwa sasa jamani nina/tunaona maamuzi ya rais ni ya mgonjwa ninaomba tusi/nisitekeleze?
Kuna makubwa ambayo nayajua kuhusu hali ya ATC.. lakini kuna faida gani kuyaweka hadharani? Hivi ni wangapi wanajua kuwa hilo li Airbus lao linaruka likiwa na matatizo....? na haya ni tofauti na yale tuliyoyaanisha mwanzoni?
.....haya Sasa...............! Indian Of Tanzanian Of Asian Origin....!habari Zilizotufikia Muda Tukienda Mitamboni Zinasema Kampuni Ya Ndege Ya Tanzania Baada Ya Kuwahaadaa Wabunge Kwa Kufanya Safari Za Ndege Za Dodoma ,,imeamua Kuairisha Safari Hizo Baada Ya Mmoja Wa Mmoja Wa Walio Kwenye Board Ya Atcl Kushtuka Sana Na Kuulizia Hii Inakwendaje ..mbona Mnazidi Kutaka Kuliua Hili Kampuni Nani Ataenda Dodoma????baada Ya Kuona Hili Kwenye
Jf...
Wakatihili Likiendelea Inasemekana yule Muhindi mwenye Hisa Na A.african Airways Alishafix Mambo Yake Kuiua Kampuni Kwa Kutafuta Jamaa Wa Travel Agent Kufanya Mambo Yao../.na Kichekesho Tumesikia Jamaa Alishaanda Hadi Sehemu Ya Kukodishia Ofisi...ewe Chori Unaitakia Nini Kampuni Hiyo????????
Kwa Hamu Si Abiria Tunasubiri Sana Maana Nilivyoona Hapa Nikakimbiia Kwenye Travel Agent Kuuliza Wanadai Wameambiwa Waseme Hazipo Tena Safari Hizo
Mwanakijiiji Ni Tutawafundisha Na Kuwatabiria Mpaka Kufa..nakumbuka Uliuliza Je Itaruka .....sasa Wameshawaambia Tarvel Agent Akuna....nyie Waatu Wa Marketing Mpo??????????mmhhhhh
Innalilah Na Ma Wabrina!!!!!!!!
mbona mnazidi kutaka kuliua hili kampuni nani ataenda dodoma????baada ya kuona hili kwenye
JF...
Ni kazi ya viongozi makini kusikiliza na kutafutia ufumbuzi matatizo ya wananchi ,hapa Zitto kaonyesha kuwa anasoma na kufuatilia mambo this is the leadership we need.