Huyu mtu anaudhi sana, yaani ni binadamu wale wanaosherehea watu wakipatw na mabaya, ni kama mchawi Fulani hivi,Huu ujinga wa kuamini Mungu wengine tulishaukataa kitambo.
Nikikwambia uthibitishe Mungu yupo huwezi.
Huwezi.
Usitulishe huu ujinga in secular spaces nenda kahubiri kanisani huko.
Nashangaa ni mwandishi gani wa habari mjinga kama hivi, anachoandika hakieleweki , kama ni mwandishi kweli, hajulikani anasimamia nini ktk uandishi wako, ni mtu anayeleta maudhi tu.