GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,

Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.

P
Mkuu kwa ile speech ya leo, kazi ipo
 
Wamemtangaza..watamuapisha
Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona
Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao...

Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki kwenye nchi yetu ni dhambi kubwa sana...

Wao wamemtangaza kwa risasi
Mioyo imemkataa na kuasi.
Kukataliwa kwa Samia kumekamilika.
 
Kwa post hii na ile na comment inayo fanana na yako iliyotangulia
Si hawana uwezo kufikiri, maoni yangu hali hio unayo eleza ndani ya CCM imechangiwa na kutopatikana muafaka ndani yao wenyewe nani awe mgombea wa urais. Hivyo wameingia ktk uchaguzi si tu hawana umoja, bali wanasalatiana na kukwamishana. Mwisho wa siku yule mwenye nguvu/madaraka anajikuta anatumia vyombo kudhibiti damage inayo fanywa na wenzake au kuzuia wasifikie malengo yao.

Mpasuko ukiwa mkubwa zaidi, wananchi ndio watashinda kwasababu mabadiliko yatapatikana (japo kitanzi ni kuwa tume ikishatangaza ndio basi). Hofu yangu tu, wale walio saliti kwakuwa wameshindwa tayari kwa maana rais amepatikana huenda wakarudi tena na kutulia ndani ya CCM, hivyo hata haya tunayo ona kama mafanikio ya resistance kwasasa yanaweza fifia kwa haraka sana baada ya muda, hasa pale CCM watakapo weza kupata muafaka kati yao.
Mkuu walichokifanya CCM wamejidouble shoot mwamba , yaani kwanza wanampasuko wa ndani ,pili wanampasuko wa vyama vya siasa na tatu mpasuko waliyoutengeneza wakuwagonga vyuma watoto wa raia masikini ambao kimsingi ndiyo ulikuwa mtaji wao uliyokuwa ukiwavusha sehemu ngumu ,unategemea kunakutona hapo?

Ngoma ishalalia kwa deree hiyo , hapo wanalazimika kuchagua mmoja tu kati ya mawili .

Wachague kuendelea kuwagonga vyuma au wakubali kuachia kwa heshima .

Na kwenye kugongana vyuma ndiyo wasijaribu kabisa maana wakijitekenya tu kitakachotokea hata wenyewe hawataamini show yake .

Unajua kwanini?
Wengi washaitazama hii jamii inayolalamika kwa jicho la fursa , siyo muda mizigo itaanza kuzagaa kitaa ,sasa hapo ndiyo patakapokuwa patamu haijawahi kutokea .

Shika hii , masikini hana cha kupoteza.
 
Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,

Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.

P
Kwa nini unajifunga sana kwenye katiba?

Katiba inatoa wapi mamlaka?
 
Mkuu kitaa huko hizo za kuapishana hawajawahi kuhangaika nazo , zakuapishana sijui nini ni hizo international issues .

Rais anaulinzi ,fine and good mchawi hufa mwishoni vipi kuhusu wabunge wanaulinzi gani?

Madiwani wanaulinzi gani?

Wanachama wanaulinzi gani?

Hao machawa ,wanaulinzi gani?

Mkuu ,ikitokea raia wamebadili mbinu, tupo tabuni Bro.

Tuliombee sana Taifa letu , viongozi waruhusu matumizi ya hekima .

Huu mtindo wa serikali kushupaza shingo haujawahi kuwa na Suluhu yenye tija kwenye serikali yoyote Duniani.
 
Mkuu walichokifanya CCM wamejidouble shoot mwamba , yaani kwanza wanampasuko wa ndani ,pili wanampasuko wa vyama vya siasa na tatu mpasuko waliyoutengeneza wakuwagonga vyuma watoto wa raia masikini ambao kimsingi ndiyo ulikuwa mtaji wao uliyokuwa ukiwavusha sehemu ngumu ,unategemea kunakutona hapo?

Ngoma ishalalia kwa deree hiyo , hapo wanalazimika kuchagua mmoja tu kati ya mawili .

Wachague kuendelea kuwagonga vyuma au wakubali kuachia kwa heshima .

Na kwenye kugongana vyuma ndiyo wasijaribu kabisa maana wakijitekenya tu kitakachotokea hata wenyewe hawataamini show yake .

Unajua kwanini?
Wengi washaitazama hii jamii inayolalamika kwa jicho la fursa , siyo muda mizigo itaanza kuzagaa kitaa ,sasa hapo ndiyo patakapokuwa patamu haijawahi kutokea .

Shika hii , masikini hana cha kupoteza.
Ni kweli kuna tatizo kwasasa, unless wafafanue kwa weledi kipi kilitokea na kuna shida gani.

Kama taifa tuna haja ya kupata muafaka wa pamoja
 
Mayalla ni mtu wa kitu kidogo. Anadhani Lissu ni mtu wa kuuza wenzake na nchi yake kama anavoweza kufanya yeye. Lissu angelikuwa na tamaa tiyari angepatiwa pesa na akaenda zake kuishi maisha ya kifahari kuzidi hata mbunge yeyote. Takataka kabisa.
Lissu akitaka Ujaji ana pewa ndani ya Mwaka wanampandisha anakua Jaji mkuu wanaweza na Lissu ilo ana lijua hata Uwaziri wa Sheria na Katiba Anajua inawezakana lakini anajua hizo sio level zake Yeye ni hapo juu Lissu serikali huivunje katikati waziri mkuu airport kwa Lissu na Lissu anawaita offce mnajadili yanatoka hiwe 50%50% Wewe utabaki kua Rais wa Majeshi ila Police inakua chini ya Lissu mambo ndo yanaweza kwenda wahuni hawawezi kukubali kupoteza yote tukubaline 50%50 Lissu asimamie hiyo 50% ya Nchi mabepari tuwaachie hiyo 50%
 
Naunga mkono, isipokuwa paragraph ya mwisho niweke maneno kidogo.

Maandamano haya yana element nyingi sana ndani yake, naamini hata wao na vyombo vyao kuna kitu wamejifunza. Huko mbele hali itakuwaje, ni swali ambalo nadhani nitaweka akiba ya maneno kidogo kwasababu ni ukweli CCM wakipata tishio la msingi kabisa hufanya jitihada za kubadilika. Ngoja tuendelee tazama wanavyo changa karata zao upya.
Nimekupata CCM ni lidude na mimi naona kwa jicho flani hasa wakiona Chaama kinaenda kupotea nakumbuka hata kipindi Magu anapokea chama kilikua kinaenda kupotea wakipata tishio la Msingi
 
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.

P
Kumbe unawajua? Kama ni kweli ni mwaandishi wa IJ( Investigation journalist) wataje kusaidia Taifa
 
Mwanakijiji hebu rejea kwenye ujenerali wako wa mapambano ya kalamu ili tuokoe hii nchi.

Bado nakumbuka ile mada ya "Kasungura ka Lowasa"
 
Yes the biggest change ni YEYE atafanya kitu!, kuna jambo litatokea kuwafuta machozi Watanzania.

Pili kukataliwa ni kubaya, hivyo Bi Dada will be just a figure head, ana move back na kumuacha VP, ndie will be running the show, and he is dam good, tatizo la VP ni moja tuu, ni mtu wa ule mtandao wa wale wahuni wa Polepole!.
P
Mungu atusaidie...
 
..hakuiba kura, kwasababu hazikuwepo.

..bali ameiba tangazo la ushindi.🤣
kupitia vyombo vya dola pole pole alisema wakampuuza wanaweza kua wanatafakari maneno yake karne hii huwezi kufanya utoto huu siku ya Uhapisho umezima intranet tena ikulu sio uwanjani wananchi unawapungia mkono unapishwa gizani unafungua mitandao watu wanalilia ndugu zao Waliokufa alafu unasema umeshinda kwa 98% hii ni kali
 
K
Watch and see brother, wanaweza kutushinda wananchi sababu hatuna silaha..lakini amini nachokuambia , JWTZ kwa asilimia kubwa vikosi vingi vimekwisha muasi , ni suala la muda ,inaweza kua hata mwaka ,au zaidi ila atakutana na shughuli ambayo itamfanya ajutie Siku Mungu aliyomuumba!!..kama ameshindwa kuilinda major city dar es salaam, Hana ubavu wa kupambana na Tanganyika..hata Uganda nzima imsaidie!!
Kwa Jeiwii hii sahau CDI ni bodyguard wa JK,hakuna operesheni itafanyika bila yeye kujua,Bado yule Cos Mzanzibari hata mfanyeje.
 
Ni muhimu kufanya maandamano makubwa ya ki historia.

Nadhani safari hii yawe ya amani sana. Kila mtu akamate bango! Na sote kwa pamoja tuseme hatumtaki huyu mtu
Watawaua Tena ,kama walivyofanya tar 29
 
kupitia vyombo vya dola pole pole alisema wakampuuza wanaweza kua wanatafakari maneno yake karne hii huwezi kufanya utoto huu siku ya Uhapisho umezima intranet tena ikulu sio uwanjani wananchi unawapungia mkono unapishwa gizani unafungua mitandao watu wanalilia ndugu zao Waliokufa alafu unasema umeshinda kwa 98% hii ni kali
CCM inawapongeza watanzania Kwa kuichagua Kwa kishindo,Hawa watu hawana aibu
 
Li
Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,

Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.

P
P unafikiri Lissu Mughwai anaweza kukubali uteuzi wa bimkubwa?
 
Back
Top Bottom