HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,960
- 102,732
Hit n Run zitakuwa nyingi sana, kwa washirika wake wengi.Nina wasiwasi itakuwa ngumu sana kwa watendaji wake serikali kufanya kazi mitaani humo...
Hit n Run zitakuwa nyingi sana, kwa washirika wake wengi.Nina wasiwasi itakuwa ngumu sana kwa watendaji wake serikali kufanya kazi mitaani humo...
Kitu ambacho hawatakuja kubali kamwe.I know it is too much to ask but the only solution under these circumstances ni uchaguzi urudiwe under a new electoral commission. This election should be declared null and void
Kama kaiba kura 31mil alichopaswa fanya ni kufanya marekebisho, aweke katiba mpya kisha aibe siku ya uchaguzi...uwezo wa kushinda bila kumwaga damu alikuwa anao.
..lakini kwa ujinga wake akaamua kutafuta ushindi kwa njia zisizofaa.
Kama kaiba kura 31mil alichopaswa fanya ni kufanya marekebisho, aweke katiba mpya kisha aibe siku ya uchaguzi.
Bora angeiba kwa watu kupiga kura kuliko wizi ambapo hapakuwa na mtu kapiga kura. Kwa ufupi katengeneza bomu ambalo hajui lalipuka lini..alikuwa na BILLION 100 alizochangiwa kwa ajili ya kampeni. Kwa maoni yangu uwezo huo wa kifedha ulikuwa unatosha kushinda uchaguzi hata kama Tume ya Uchaguzi ingekuwa imejaa wapinzani.
Bora angeiba kwa watu kupiga kura kuliko wizi ambapo hapakuwa na mtu kapiga kura. Kwa ufupi katengeneza bomu ambalo hajui lalipuka lini
Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,
Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.
Afu anaenda msikitini..hakuiba kura, kwasababu hazikuwepo.
..bali ameiba tangazo la ushindi.🤣
Kumbe hujui nimetoka wapi na TLP
Leo wewe Leo wakumpa heshima kubwa namna hii Mh. Lissu? Am i dreaming?
Afu anaenda msikitini
Sema aliyemshauri kuua wananchi kamsaidia abaki madarakani maana wanajeshi walishindwa jua nani anaua ikabidi warudishe watu ndani
Hajui umeanzia RTD, DTV etc anyway mkuu ungepita kwenye Ile idara iliyowahi kuongozwa na mzena kama wazee pengine usinge kuwa mnafki hivi.Kumbe hujui nimetoka wapi na TL
1. Ni skulumeti wangu Ilboru
ilibidi niangalie mara mbili mbili ID yakeLeo ndio nimekusikia umenena ukweli Pascal..barikiwa!
Kwa mtazamo, hao viongozi wa dini walitoa kila aina ya angalizo ama "warning alert" ya kitakachotokea.. Lakini ni kama walibezwa, waliwindwa na wengine kupapaswa... Sasa hivi ndio waonyeshe kuwahitaji? Ukimya wao una majibu mengi, kwa sasa wakiongea kwa kukurupuka itakua balaa zaidi.. Hekima ya ki Mungu iwaongoze wasitoe matamko ya kutugawa bali kuponya nafsi zetu.Nakubaliana ma wewe kabisa, haya ni mambo ya kusikitisha na ya kuhuzunisha. Wamekipata walichokitaka. Sasa umoja wa kitaifa na kauli kama hizo basi… tuishi kwa kuviziana kama wanyama msituni.
Kwa kuwa viongozi wa dini wamekaa kimya mpaka sasa, na sisi sasa hakuna kutoa sadaka kanisani kwa sasa maana wako kimya hadi wakati huu. Serikali ifanye mpango wa kuwapelekea sadaka huko makanisani kwa ukimya wao.
Vifo vyote hivyo ni ili mtu aendelee kutuongoza, kwa kweli nahuzinika sana kwa vifo vyote vilivyotokea... Siku moja na wao walivyo visababisha, yawakumbuke mateso maradfu- AMEN.
Bahati mbaya sana anasaidiwa na watanganyika aliowagawia vyeo kuliteketeza taifa.Yaani hii ya kukodi watu kuja kuua raia wako imeniuma sana. Ni dhairi kuwa huyu mama hana nia njema ya kutawala. Mtu mwenye nia njema hata kama anataka madaraka angejaribu kutafuta negotiations mezani. Kuwaua watu na majangiri wa kukodi ni wazi ana nia mbovu sana huko mbele. Ndugu zangu, taifa letu limekwisha.
Lazima tufanye maandamano makubwa sana. Haya mauaji sio ya kawaida. Tusipofanya hivyo uongozi wetu utakuwa unapatikana kwa kumwaga damu.Hili Jambo alikubariki na kamwe halitakubarika.
Tunaanda utaratibu, tutaandaa maandamano mapya Africa mashariki itajifunza kwetu.
Tulichokifanya tunaita demo
NdioKwa hiyo wananchi tufanye nini ndugu Pasco, tusubilie mpaka Yeye atakaamua unachojisikia
sure una jicho kuona mbali kama tusipokubaliana hii nchi imeenda kuna visasi sio vya kitotohii nchi ilishaenda na haitakuwa the same tena, kwani tumeshakuwa kama zile pariah states ambazo madikteta huwa hawatoki kwa sababu ya kuhofia madhambi walioyafanya, ndiyo maana madikteta wote huweka watoto, wake au familia zao, tumeshafika huko.
masikini nchi yetu …
With due respect, mzee wangu umeongea nonsense. Kwa mawazo yako Lissu anautaka ubunge au uteuzi wa aina yoyote? P are you serious?Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,

P