GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yes the biggest change ni YEYE atafanya kitu!, kuna jambo litatokea kuwafuta machozi Watanzania.

Pili kukataliwa ni kubaya, hivyo Bi Dada will be just a figure head, ana move back na kumuacha VP, ndie will be running the show, and he is dam good, tatizo la VP ni moja tuu, ni mtu wa ule mtandao wa wale wahuni wa Polepole!.
P
Mzee Pasko hio paragraph ya pili inanipa ukakasi mwingi sana
 
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu.
Speech yake ya leo ndio imenishangaza sana naona anataka Confrontation zaidi na GenZTZ
 
Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,

Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.

P
Ila akili zako we jamaa aisee dah! 🤣yaani Lissu apozwe kwa kupewa Ubunge wa kanga , seriously? Na unaamini atakubali?🤣

Nimecheka hapo ulipowatambua ma Gen-Z kwa sura ya waharifu 🤣🤣 dah! Yaani wale akithubutu tu kuwaita waharifu ndiyo nikuwaongesea sababu ya kwanini wanapaswa kuufanya uharifu zaidi na kuanzia hapo taifa litawaka , tena asithubutu kuwatambua kwa sura ya waharifu na wakiguswa tu nikurejea tulipotoka , wale waganda wake wake wale niwepesi tu ,nibasi tu busara zilitumika ila siyo kwamba watu waliwashindwa
 
Yaani hii ya kukodi watu kuja kuua raia wako imeniuma sana. Ni dhairi kuwa huyu mama hana nia njema ya kutawala. Mtu mwenye nia njema hata kama anataka madaraka angejaribu kutafuta negotiations mezani. Kuwaua watu na majangiri wa kukodi ni wazi ana nia mbovu sana huko mbele. Ndugu zangu, taifa letu limekwisha.
Wajuba huyu Mama kichwani ni box mazima ,wenzake wanamtoa kafara na hajui , vinginevyo angelikuwa wakujitambua angelipaswa kujitafakari sana
 
Ila akili zako we jamaa aisee dah! 🤣yaani Lissu apozwe kwa kupewa Ubunge wa kanga , seriously? Na unaamini atakubali?🤣

Nimecheka hapo ulipowatambua ma Gen-Z kwa sura ya waharifu 🤣🤣 dah! Yaani wale akithubutu tu kuwaita waharifu ndiyo nikuwaongesea sababu ya kwanini wanapaswa kuufanya uharifu zaidi na kuanzia hapo taifa litawaka , tena asithubutu kuwatambua kwa sura ya waharifu na wakiguswa tu nikurejea tulipotoka , wale waganda wake wake wale niwepesi tu ,nibasi tu busara zilitumika ila siyo kwamba watu waliwashindwa
Mayalla ni mtu wa kitu kidogo. Anadhani Lissu ni mtu wa kuuza wenzake na nchi yake kama anavoweza kufanya yeye. Lissu angelikuwa na tamaa tiyari angepatiwa pesa na akaenda zake kuishi maisha ya kifahari kuzidi hata mbunge yeyote. Takataka kabisa.
 
Ila akili zako we jamaa aisee dah! 🤣yaani Lissu apozwe kwa kupewa Ubunge wa kanga , seriously? Na unaamini atakubali?🤣

Nimecheka hapo ulipowatambua ma Gen-Z kwa sura ya waharifu 🤣🤣 dah! Yaani wale akithubutu tu kuwaita waharifu ndiyo nikuwaongesea sababu ya kwanini wanapaswa kuufanya uharifu zaidi na kuanzia hapo taifa litawaka , tena asithubutu kuwatambua kwa sura ya waharifu na wakiguswa tu nikurejea tulipotoka , wale waganda wake wake wale niwepesi tu ,nibasi tu busara zilitumika ila siyo kwamba watu waliwashindwa
Huyu anafikiria kichawachawa tuu
 
That’s bullshit!

You heal the nation by doing the right things and when you have legitimacy.

Huyo hana legitimacy yoyote ile.

Hata self awareness hana. Kashindwa nini kuwaambia hao watu wa hiyo tume yake wazishushe kidogo hizo namba ili walau matokeo yasiwe outrageous?
I know it is too much to ask but the only solution under these circumstances ni uchaguzi urudiwe under a new electoral commission. This election should be declared null and void
 
wangekuwa na nia hio wange ridhia mabadiliko ya mifumo kabla ya uchaguzi, wao kwa ujumla wao walishaamua twende ktk uchaguzi na mfumo huu. Nadhani la kutazama ni uwezekano wa wao kutimiza ahadi yao ya mabadiliko ya katiba, shida tu ninayo iona hapo ni kuwa kwakuwa uchaguzi ushapita sitashngaa hata wale wana CCM ambao waliunga mkono madai ya katiba kipindi hiki cha uchaguzi wakirudi nyuma na kuungana na wale wengine wasio taka katiba !
 
Tumemshauri humu kazi ya kwanza baada ya kuapishwa ni healing the nation,

Kwa mujibu wa katiba yetu,akiishatangazwa,ndio ametangazwa,uchaguzi umekwisha,there is nothing anybody can do. Kitu cha kwanza baada ya kuapishwa,
1. atoe a general amnesty kwa wale wahalifu wote waliofanya ule uhalifu kwasababu japo ni wahalifu kwa maandamano yaliyoambatana na uharibifu wa mali wa kijinai, kwa wengine hawa vijana ni mashujaa wakombozi waliojitoa kuipigania nchi yao, asiwaadhibu. Tena CDF Mkunda aondoshwe, Wale the good ones waandikishwe JKT wachujwe, waajiriwe jeshini.
2. akubali serikali italipa fidia kwa kila uharibifu uliotokea kwasababu ni serikali yake imesababisha yote haya.
3. a heal the nation kwa kuwateua Lissu,Zitto,Mpina,na Mwalimu katika zile nafasi zake 10 za ubunge ili kuwapoza moto Gen Zii, mtu kama Lissu akisimama na kusema tulieni, vijana wanatulia.
4. Ashushe mabega chini,awe humble,aje down to earth, asiendelee kutambia urais wake wala u mimi ndie Amiri Jeshi, 5 days taifa limechafuka hakuna kauli ya CinC!
5. a wa disband wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', na ni “wasiojulikana” kweli hawajulikani,akubali serikali yetu haina uwezo kuwabaini,aombe msaada wa kusaidiwa na yeyote,tukiwemo sisi waandishi wa IJ.

P
she is doing the opposite, from credible source kikosi ya mamluki kitaendelea kuwepo , kitafanya kazi zake usiku tu, usiku kuu kiko active ilala vijana wanauliwa , jana ilikuwa mbeya usiku , don't underestimate roho iliyomuingia huyu Mama .. There is no healing , atatawala kwa mkono wa chuma through out.. and may be that will be he downfall
 
Binafsi I am not optimistic at all. In fact I expected this outcome. Why? Angalia tu behavior ya madikteta wa nchi nyingine. Huwa hawarudi nyuma bila shuruti. Wakinusurika huwa ndo wanazidi kuwa wabaya zaidi. Yaani bila nguvu zaidi dhidi yake au kifo kiwe cha asili au mauaji mtu ambaye amepagawa na roho ya udikteta huwa hajirudi kwa hiari. They only get worse. Hata Magufuli asingejirudi bila kifo. Wapo wengi wanaua na wanaendelea kutamba e.g Kagame, Museven, Maduro, Jin Jinping, Putin, etc.
 
Kwa vile ni YEYE huziweka tawala za mataifa, then ni YEYE ameruhusu huu ushetani utokee kwenye ardhi yetu na kumruhusu shetani atamalaki na ushetani kutamalaki, tumwachie YEYE MWENYEWE, Atatenda!.
P
YEYE Yuko busy na hana huo muda kwa Maana amewapa Maarifa na UWEZO wa kumalizana na huo ushetani
 
Kuna vitu ni kweli usimuachie Mungu kama unaweza ku deal navyo, lakini tawala zote za mataifa ni YEYE ndie huziweka na ni yeye huzitwaa.
Hivyo baada ya Samia kuapishwa, no one can do anything except YEYE!.
P
 
I know it is too much to ask but the only solution under these circumstances ni uchaguzi urudiwe under a new electoral commission. This election should be declared null and void
Sio tu uchaguzi urudiwe, kwanza katiba mpya ipitishwe ili kupunguza nguvu ya Raisi, we Raisi hadi ana ruhusu mamluki kutoka nje ya nchi kuua Raia wako…this is too much…our fellow countrymen are massacred by foreign mercenaries na watanganyika wengine waliopo kwenye vyombo wanasaidia…very painful.
 
Kuna vitu ni kweli usimuachie Mungu kama unaweza ku deal navyo, lakini tawala zote za mataifa ni YEYE ndie huziweka na ni yeye huzitwaa.
Hivyo baada ya Samia kuapishwa, no one can do anything except YEYE!.
P
Basi sisi tunamuachia SHETANI

Wakorintho 5:5
“Tumemkabidhi mtu huyo kwa Shetani, ili mwili wake uangamizwe, lakini roho yake iokolewe siku ya Bwana
 
Yaani ukabidhi shetani kwa shetani?.
Tanzania si itageuka Sodoma na Gomorrah?. Thread 'Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani' Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani

P
 
wangekuwa na nia hio wange ridhia mabadiliko ya mifumo kabla ya uchaguzi, wao kwa ujumla wao walishaamua twende ktk uchaguzi na mfumo huu. Nadhani la kutazama ni uwezekano wa wao kutimiza ahadi yao ya mabadiliko ya katiba, shida tu ninayo iona hapo ni kuwa kwakuwa uchaguzi ushapita sitashngaa hata wale wana CCM ambao waliunga mkono madai ya katiba kipindi hiki cha uchaguzi wakirudi nyuma na kuungana na wale wengine wasio taka katiba !

..wote waliopotezwa familia zao zifutwe machozi.

..waliohusika na utekaji, na mauaji, wachukuliwe hatua za kisheria.

..hili jambo la utekaji na mauaji ya kisiasa halipaswi kufumbiwa macho, au kusukumwa chini ya zulia.
 
Yes the biggest change ni YEYE atafanya kitu!, kuna jambo litatokea kuwafuta machozi Watanzania.

Pili kukataliwa ni kubaya, hivyo Bi Dada will be just a figure head, ana move back na kumuacha VP, ndie will be running the show, and he is dam good, tatizo la VP ni moja tuu, ni mtu wa ule mtandao wa wale wahuni wa Polepole!.
P
Kwa hiyo wananchi tufanye nini ndugu Pasco, tusubilie mpaka Yeye atakaamua unachojisikia
 
Back
Top Bottom