At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

Siwezi kukuuliza chochote, kwa sababu wewe bado ni fool, bado hujaelimika ila umekaririshwa na old school ties! Siwezi kupata majibu kwako kwa maswali yangu.
Ila nakutia moyo jifunze zaidi, utaugundua uongo mwingi sana wa NASA.
Nikudokeze kitu kidogo.
Kuna telescope duniani kubwa sana ya kuangalia ng'ambo inaitwa L.U.C.I.F.E.R inamilikiwa na VATICAN.
Unajua kwa nini inaitwa Lucifer?
Kirefu chake ni Large binocular telescope near infrared Utility with Camera and Intergral Unit for Extragalactic Research.
Lucifer ni jina la "shetani" kama tumjuavyo, au wao humwita malaika wa nuru.
Hivyo kazi ya astronomy ni kazi ya ibilisi ambaye ni baba wa uongo wote. Lakini cha ajabu pia telescope hiyo kubwa duniani inamilikiwa na taasisi ya dini kubwa duniani Vatican!
Hivyo nakushauri utafakari na ujifunze upya uachane na hayo matapishi unayoendelea kujilisha.
Upo sahihi mkuu, mambo mengi tunayoelezwa ni fabrications tu za hao wanaojiita NASA. Kama wameshindwa kwenda kwenye sayari hata moja kwenye solar system yetu ni vipi wataweza ku comprehend kuhusu galaxies ambazo zina billions of stars. Ukisoma biblia kitabu cha Ayubu 26:7 kaandika, "He stretches out the north over the empty place, and hangs the earth upon nothing" pia Ayubu 28:5 kaandika "As for the earth, out of it comes bread: but under it is turned up as it were fire" Kwa hiyo vitu kama hivi vinavyohusu universe watu kama Ayubu walikuwa tayari wamesha vi comprehend miaka mingi sana huko nyuma ingawaje baadaye tulikuja kuaminishwa galileo galilei ndo alileta theory kwamba dunia ina umbo la tufe. Pia ukisoma Ayubu 26:14 amekiri kwamba hicho alichokuwa anaelewa ni kidogo sana ndo maana ukisoma Ayubu 38: 4-5 Mungu alivyomuuliza maswali, 4. Where were you when I laid the foundations of the earth? declare, if you have understanding. 5 Who has determined the measures thereof, if you know? or who has stretched the line upon it? 6 .On what are its foundations fastened? or who laid its cornerstone; Kwa hiyo utagundua kwamba kama ilivyokuwa kwa Ayubu hata hao scientists wanaweza ku comprehend kiasi kidogo sana kuhusu universe, ni kama tone kwenye bahari.
 
Unatumia biblia kupinga scientific fact

Hafu hapo hapo unatumia simu ya hao hao unaowaiita wazushi 😅

Hapo sijataja mambo ya television maana hapo ni physics tupu

Sijataja gari

Sijataja jiko la gesi ama umeme unalotumia home

Sijataja friji

Hahaha aisee waafrika shida sana 😀😄😅
 
Kuweza kuprove black hole ina maanisha space haipo wazi ipo kama blanket. Shimo haliwezi kutokea kwenye uwazi. Space ikiwa kama blanket all matter including the sun stars etc zinatengeneza mashimo madogo madogo ambayo yanafanya matter ndogo zaidi zidumbukie.
Hivyo basi Newton was wrong because there is no such thing as gravity but bend in space time. Inayafonya Earth kuifuata Jua sio mvutano, bali Earth imedumbukia kwenye shimo la Jua.
Neno dumbukia linalleta hisia ya juu na chini. Katika universe juu ni wapi na chini ni wapi?
Hivi unaporuka kwa mfano kwenye ndeka ukadumbukia ardhinj hiyo space uliyopita ni shimo la dunia?
 
Unatumia biblia kupinga scientific fact

Hafu hapo hapo unatumia simu ya hao hao unaowaiita wazushi 😅

Hapo sijataja mambo ya television maana hapo ni physics tupu

Sijataja gari

Sijataja jiko la gesi ama umeme unalotumia home

Sijataja friji

Hahaha aisee waafrika shida sana 😀😄😅
Scientific fact ipi niliyoipinga, wapi nimepinga principle za gari, jiko la gesi na umeme, friji, televisheni au umeamua kunilisha maneno. Tatizo wabongo hujasoma na kutafakari kitu unakimbilia kukomenti utafikiri kuna mashindano ya kukomenti humu, hopeless....Kuna jamaa alipost humu kwamba mbongo mpe picha, maneno atamalizia mwenyewe, nimeanza kuamini
 
Ooh sawa chief

Upo sahihi kabisa
 
MY NEW THEORY OF UNIVERSE

All systems of universe as are articulated as galaxies and floating objects are tiny as polen on air.
Just as there are billions of micro bacteria floating in humidity and only we can see them by the use of magnfying microscope so that our solar system is and whole galaxy plus billions of them in universe are floating because of less denser and each are by nature possess magnetic power thus they shall not bump to one another.

Gentlemen we are micro universe soo tiny and yet we are floating heading into infinity journey

Hii theory nimeipata baada ya glas moja ya maji makali....

Itaendelea....
 
Wote tukifa tunaenda futi sita chini, hayo mambo ya huko juu ambako hatuendi yanatusaidia nini?
 
Unataka kusema mimi ni mwanaume najifanya mwanamke??
Ondoa hiyo kasumba kichwani mwako kwamba wanawake hatupo interested au hatuwezi kujua wala kuelewa haya mambo. Unamjua vizuri Marie Curie?
Achana na yule bi mkubwa marie curie!wanaume wanasoma kwake japo gunduzi zake zilichangia kifo chake
 
There is a difference between disproving Newton and improving on Newton.

Einstein did not disprove Newton, he improved upon Newton.

New emerging theories will likely not disprove Einstein's Relativity, they will likely improve upon it.

If you have a formula that can give you pi to two decimal places, and later on you find one that can give you pi to the seventh decimal place (while the original is still correct in its own context), you do not disprove the original formula, you improve upon it.
Am in yeah mode with u Kiranga,to dissaprove of something must made totally obsolete or meaningless!
 
Wee jamaa umeua
Hii nayo ni theory tu!! Ukiangalia sana, Discovery science na theory zao kutoka NASA zinatuharibu akili kabisa.
Hakuna hata kimoja kina exist, sio black hole, Galaxies wala kutuambia kuwa jua ni kubwa kuliko dunia. Yote hayo ni uchafu tu, wala dunia haizunguki jua, shuleni tumefanywa fools, na kweli duniani kuna full of fools. Theory kibao za uongo.
 
Back
Top Bottom