Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,219
- 3,427
Pole sana ila sishangai. Hata kumuelewa Einstein vizuri bado watu hawajaweza kwasababu anaongelea vitu ambavyo hatuwezi kuvi comprehend unlike Newton. Sasa ikisikika Einstein amepingwa tena na "ghost physics" watu hawaelewi wanazidi kuchanganyikiwa wanabaki tu Einstein hawezi kuwa falsified.Wakati nikiwa junior grade niliwahi kum challenge mwalimu nikaambulia barua ya utovu wa nidhamu..fine Einstein namheshimu ila tafiti inapingwa na tafiti...atabaki kuwa mwasisi ila zama zinabadilika!