Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,219
- 3,427
Naomba usini quote tena na upuuzi wako. Kama ingekuwa uongo ungeweza kuingia mtandaoni na kuandika huu utumbo? Kama huelewi uliza.Hii nayo ni theory tu!! Ukiangalia sana, Discovery science na theory zao kutoka NASA zinatuharibu akili kabisa.
Hakuna hata kimoja kina exist, sio black hole, Galaxies wala kutuambia kuwa jua ni kubwa kuliko dunia. Yote hayo ni uchafu tu, wala dunia haizunguki jua, shuleni tumefanywa fools, na kweli duniani kuna full of fools. Theory kibao za uongo.