At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

Sijui kama navyowaza ni sahihi ila wanadamu tuna kasumba moja amabayo tunaamini kwamba walichofanya tunaoaminishwa kwamba walikuwa sahihi basi hakitakiwi kuwa challenged!
Mathalan ukiangalia tafiti alizofanya Charles Darwin kuhusu ' theory of evolution by natural selection ' utagundua tumepata pa kuanzia ili kupitia matango pori!
Tena hiyo ya Charles Darwin ndo ina ukakasi haswa. Sio kwamba yote sio sahihi ila kuna maeneo mengi zaidi ya kurekebisha.
 
Utanitag Mkuu akitoa jibu
Naweza kuuliza hapa kidogo mkuu kwamba no kipi basi kinachozuia duniani isidumbukie moja kwa moja ndani ya kiini cha jua ikiwa kama ni kufuata muelekeo na si uvutano..?
 
Tena hiyo ya Charles Darwin ndo ina ukakasi haswa. Sio kwamba yote sio sahihi ila kuna maeneo mengi zaidi ya kurekebisha.
Physics ni field pana iliyogawanyika katika vipengele anuai, mathalan tuna;-
Ila sehemu yenye ukakasi ambayo kama navyowaza ni sahihi nadhani wanazuoni wana deni kubwa sana kupafanyia kazi ni Quantum Mechanics!
 
Umbali..!? Unamaanisha nini unaposema umbali kwamba space iliyo kati ya jua na dunia inaukinzani wa kuzuia hiyo dunia isiifikie jua...? Au umbali ni mkubwa kiasi kwa dunia inaendelea kuporomoka lakini bado haijafika..?
Ndio umbali. Jua nilikubwa hivyo shimo linalotengenezwa halipo deep ila lipo wide unlike blackhole ambayo shimo lake ni deep sana ila halipo wide. Ndo maana unaweza ukasogea karibu kabisa kwenye Blackhole lakini usisikie chochote mpaka uvuke event horizon.
Ndio maana effects za Jua zinafika mpaka kwa Pluto. Jinsi unavyoendelea kusogelea Jua ndo unazidi kuingia kwenye shimo lake.
Dunia ipo ndani kwenye shimo lakini bado umbali nimkubwa sana, eight light minutes to be exact.
Na dunia haiendeleii kusogelea jua, yenyewe inazungukuka tu na kurotate kwenye axis yake.
 
Physics ni field pana iliyogawanyika katika vipengele anuai, mathalan tuna;-
Ila sehemu yenye ukakasi ambayo kama navyowaza ni sahihi nadhani wanazuoni wana deni kubwa sana kupafanyia kazi ni Quantum Mechanics!
Yaani Quantum mechanics ni shughuli. Haieleweki na inaji contradict yenyewe na ina mazingaumbwe ya kutosha. Ndo maana Einstein mwenyewe aliiogopa ikamchanganya haswa.
Na quantum mechanics ni muhimu sana sana kwasababu inagusa nyanja zote za science kwanzia Biology Chemistry na physics yenyewe.
Tukiweza kuelewa siri za huu ulimwengu vizuri tuta advance sana kama civilization.
 
Of course my way of thinking has been changed
Sina maana kwamba ninashangaa wewe kuwa mwanamke na kuwa na interest na Haya mambo, where I come from hakuna hicho kitu
Geography is a destination Mkuu, ndiyo unatusaidia na kututoa tongo tongo
Nimekuelewa. Nimekulia kwenye mazingira ya kupenda haya mambo kwasababu tangia nikiwa mdogo nimeangalia sana documentary za cosmology kwenye National Geographic na Discovery Channel.
 
If newton was wrong, nobody will come to tell us truth
Naomba heshima kwa Mungu irudi sasa
 
Newton the most arrogant scientist ever , jamaa alkua na nyodo balaa

Kabla hajagundua newton's ring alkua amezira kufanya scientific works almost kwa mwaka mzima , kisa kapingwa kitu kidogo ani

Angekua hai sa hivi 😂😅😅 kangejiua haka kashkaji

Ni kweli. Walianza akina Faraday, Tesla etc lakini Einstein ndo aligusa penyewe. Alimuangusha giant ambaye hakupingwa kwa karibia miaka 400. Na bila hao akina Tesla na Faraday tusingekuwa na umeme.
 
Nimekuelewa. Nimekulia kwenye mazingirai ya kupenda haya mambo kwasababu tangia nikiwa mdogo nimeangalia sana documentary za cosmology kwenye National Geographic na Discovery Channel.
For the sake ya kizazi fukunyuzi cha sasa kinachopenda kupata maarifa mapya ukipata muda unapita hapa na kudondosha nondo kwa wanaopenda wanapata madesa badala ya kujikita kwenye udaku wa video za kina uwoya na mapenzi ya Diamond na Zari! Barikiwa sana, whoever you are!
 
Newton the most arrogant scientist ever , jamaa alkua na nyodo balaa
Kabla hajagundua newton's ring alkua amezira kufanya scientific works almost kwa mwaka mzima , kisa kapingwa kitu kidogo ani
Angekua hai sa hivi 😂😅😅 kangejiua haka kashkaji
😂😂😂 kumbe Newton alikuwa hivyo? Kweli sasa hivi angejiua kwasababu watu siku hizi muda wote wanawaza mapya.
Ila Newton aliandika kwenye kila kitabu chake cha Principles kwamba kuna vitu yeye mwenyewe hajui na havielewi labda vipate uvumbuzi hapo baadae.
 
Mimi na wewe bado hatujachangia lakini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nikishaonaga haya ma black hole na ma Einstein sijui quantum.Hiyo thread huwa naikimbia kwa speed ya light.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Newton alikuwa hivyo? Kweli sasa hivi angejiua kwasababu watu siku hizi muda wote wanawaza mapya.
Ila Newton aliandika kwenye kila kitabu chake cha Principles kwamba kuna vitu yeye mwenyewe hajui na havielewi labda vipate uvumbuzi hapo baadae.
Alishawahi sema all we know about this earth is just a drop of a water in a big ocean
 
Back
Top Bottom