At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

There is a difference between disproving Newton and improving on Newton.

Einstein did not disprove Newton, he improved upon Newton.

New emerging theories will likely not disprove Einstein's Relativity, they will likely improve upon it.

If you have a formula that can give you pi to two decimal places, and later on you find one that can give you pi to the seventh decimal place (while the original is still correct in its own context), you do not disprove the original formula, you improve upon it.
 
Unataka kusema mimi ni mwanaume najifanya mwanamke??
Ondoa hiyo kasumba kichwani mwako kwamba wanawake hatupo interested au hatuwezi kujua wala kuelewa haya mambo. Unamjua vizuri Marie Curie?
Mkuu mimi ni neuroscientist ila nipo intersted sana na ishu za quantum physics yaan sijui kwa nina inakua hivyo

Najitahidi kuyasoma ingawa ni magumu aisee [emoji28]

Kuna hicho kitabu nakipitia sa hivi

IMG_20190723_081049_8.jpeg
 
Mkuu mimi ni neuroscientist ila nipo intersted sana na ishu za quantum physics yaan sijui kwa nina inakua hivyo
Najitahidi kuyasoma ingawa ni magumu aisee [emoji28]
Kuna hicho kitabu nakipitia sa hivi
View attachment 1165350
Kumbe wewe ni neuroscientist?! That's nice. Mimi mwenyewe hapa nipo kwenye mambo ya visual arts ila I'm very interested kwenye quantum physics na mazagaza yake.
By the way ni kitabu gani unasoma hapo?
 
University physics by hugh young nliambiwa ma beginner wapitie hichi vizuri au kuna kingine mkuu

Haya mambo yananipa raha sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Newton alikuwa hivyo? Kweli sasa hivi angejiua kwasababu watu siku hizi muda wote wanawaza mapya.
Ila Newton aliandika kwenye kila kitabu chake cha Principles kwamba kuna vitu yeye mwenyewe hajui na havielewi labda vipate uvumbuzi hapo baadae.
Kuna art yoyote ya hatari ushawahi ifanya mkuu [emoji28][emoji41]
 
University physics by hugh young nliambiwa ma beginner wapitie hichi vizuri au kuna kingine mkuu
Haya mambo yananipa raha sana
Ahaa nikienda library nitakisoma. Ninavyo visoma ni WHAT IS REAL by ADAM BECKER na REALITY IS NOT WHAT IT SEEMS cha CARLO ROVELLI.
Haya mambo mwenyewe yana nipa raha sana tena sana.
 
Vitabu viko very interesting.

Nafikiri ninavyo hivi katika maktaba yangu, ila nikianza kuvitafuta sasa...it could take a week.

Vingine interesting on my list ni "The Quantum Labyrinth: How Richard Feynman and John Wheeler Revolutionized Time and Reality" cha Paul Halpern na "The Quantum Story: A History in 40 Moments" cha Jim Baggott.

I just finished "The Edge of Physics: A Journey to Earth's Extremes to Unlock The Secrets of the Universe" cha Anil Ananthaswamy a few months ago. But it was rather underwhelming.
 
Nauliza Swali la kufikiria . Je nini kilichoko chini ya hilo Blanketi la Spacetime .Je kuna dunia zingine ambazo zinatengeneza madumbukio yakee? Yaani kama AC current?Mwenye jibu karibu tafadhali?
 
Ngum kumeza.
Ndio umbali. Jua nilikubwa hivyo shimo linalotengenezwa halipo deep ila lipo wide unlike blackhole ambayo shimo lake ni deep sana ila halipo wide. Ndo maana unaweza ukasogea karibu kabisa kwenye Blackhole lakini usisikie chochote mpaka uvuke event horizon.
Ndio maana effects za Jua zinafika mpaka kwa Pluto. Jinsi unavyoendelea kusogelea Jua ndo unazidi kuingia kwenye shimo lake.
Dunia ipo ndani kwenye shimo lakini bado umbali nimkubwa sana, eight light minutes to be exact.
Na dunia haiendeleii kusogelea jua, yenyewe inazungukuka tu na kurotate kwenye axis yake.
 
Yaani kitu kivutwe kuelekea shimoni, hapo hapo kiwe na uwezo wa kukizunguka hicho kitu kinachokivuta kuelekea shimoni
 
Vitabu viko very interesting.

Nafikiri ninavyo hivi katika maktaba yangu, ila nikianza kuvitafuta sasa...it could take a week.

Vingine interesting on my list ni "The Quantum Labyrinth: How Richard Feynman and John Wheeler Revolutionized Time and Reality" cha Paul Halpern na "The Quantum Story: A History in 40 Moments" cha Jim Baggott.

I just finished "The Edge of Physics: A Journey to Earth's Extremes to Unlock The Secrets of the Universe" cha Anil Ananthaswamy a few months ago. But it was rather underwhelming.
Unaweza nsaidia kupata pdf ya hivyo mzee npanue ubongo
 
Ahaa nikienda library nitakisoma. Ninavyo visoma ni WHAT IS REAL by ADAM BECKER na REALITY IS NOT WHAT IT SEEMS cha CARLO ROVELLI.
Haya mambo mwenyewe yana nipa raha sana tena sana.
Ngoja ntavitafuta

Soft copy zake unazo ! ?
 
Scientist are cracking their heads not to prove Newtons laws of gravitational wrong... nope...

They are cracking their heads to understand what's a black hole really is and how does it forms...

Because with the little knowledge they have about black holes is that, if you manage to pass through the black you, can stop the time, go back the heads of time or even get to the future...

In black hole time has stop, you don't know where you gonna end or reach... there is no time through the black hole... no gravitational pull no nothing...

Cc: mahondaw
 
Unataka kusema mimi ni mwanaume najifanya mwanamke??
Ondoa hiyo kasumba kichwani mwako kwamba wanawake hatupo interested au hatuwezi kujua wala kuelewa haya mambo. Unamjua vizuri Marie Curie?
Unanikuna na radioactivity ...hadi raha
 
Back
Top Bottom