At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

At the end we will prove that we are all wrong ,not only Newton

Am in yeah mode with u Kiranga,to dissaprove of something must made totally obsolete or meaningless!
Exactly.

Yani mtu akionesha Newton's physics is not working, and now Einstein's is working, hapo atakuwa ame disprove.

Lakini Newton's physics bado inafanya kazi vizuri tu kwa physics za kila siku, ili uhitaji Einsteins Relativity kwenye mambo ya speed kwa mfano, inakubidi ukaribie speed of light, kitu ambacho katika physics za kila siku za duniani hapa hatufikii.

Sasa hapo ukija kuleta physics za Einstein ya speed of light, wakati Physics ya Newton ya speed za gari bado inafanya kazi vizuri katika speeds za gari, utasemaje kwamba umem disprove Newton?

Watu hawaelewi tofauti ya disprove na improve katika practical matters.
 
so all my knowledge concerning gravity do not hold any significance?
Newton might be wrong in his assumption, but they are still very applicable as they give reasonable approximation

So bado zinatumika sana still hata Leo hii launching za rocket bado zinatumia Newtonian physics
 
Hii nayo ni theory tu!! Ukiangalia sana, Discovery science na theory zao kutoka NASA zinatuharibu akili kabisa.
Hakuna hata kimoja kina exist, sio black hole, Galaxies wala kutuambia kuwa jua ni kubwa kuliko dunia. Yote hayo ni uchafu tu, wala dunia haizunguki jua, shuleni tumefanywa fools, na kweli duniani kuna full of fools. Theory kibao za uongo.
@kiranga umemsikia huyu jamaa
 
Kuweza kuprove black hole ina maanisha space haipo wazi ipo kama blanket. Shimo haliwezi kutokea kwenye uwazi. Space ikiwa kama blanket all matter including the sun stars etc zinatengeneza mashimo madogo madogo ambayo yanafanya matter ndogo zaidi zidumbukie.
Hivyo basi Newton was wrong because there is no such thing as gravity but bend in space time. Inayafonya Earth kuifuata Jua sio mvutano, bali Earth imedumbukia kwenye shimo la Jua.
Dah wewe unafaa kuwa mwalimu haki vile.yani hizi mambo za spesi na taimu wallahi sikuwahi kuelewa ila hii comment imenifungua.

Tafadhali naomba umwage vitu hapa uzidi kutuelewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la hivi vitu, maneno hayavitendei haki, kuvielewa vizuri inabidi uzame kwenye milinganyo ya kihesabu.

Maneno kama "gravity" inabidi yawe defined in a very specific mathematical sense ili yawe na maana.

Na inawezekana gravity ikawepo na hiyo description iliyotolewa ikawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweza kuprove black hole ina maanisha space haipo wazi ipo kama blanket. Shimo haliwezi kutokea kwenye uwazi. Space ikiwa kama blanket all matter including the sun stars etc zinatengeneza mashimo madogo madogo ambayo yanafanya matter ndogo zaidi zidumbukie.
Hivyo basi Newton was wrong because there is no such thing as gravity but bend in space time. Inayofanya Earth kuifuata Jua sio mvutano, bali Earth imedumbukia kwenye shimo la Jua.
Hiyo bend in space time continuum inaexplainije uwepo wa universal constant G???kwamba all matter in the universe attract each other with a force equivalent to the product of their mass divided by the square of their distance multiplied by a universal gravitational constant G.
Which is a proven fact.
 
Sahihi kabisa kiongozi

Back
Top Bottom