Ndio umbali. Jua nilikubwa hivyo shimo linalotengenezwa halipo deep ila lipo wide unlike blackhole ambayo shimo lake ni deep sana ila halipo wide. Ndo maana unaweza ukasogea karibu kabisa kwenye Blackhole lakini usisikie chochote mpaka uvuke event horizon.
Ndio maana effects za Jua zinafika mpaka kwa Pluto. Jinsi unavyoendelea kusogelea Jua ndo unazidi kuingia kwenye shimo lake.
Dunia ipo ndani kwenye shimo lakini bado umbali nimkubwa sana, eight light minutes to be exact.
Na dunia haiendeleii kusogelea jua, yenyewe inazungukuka tu na kurotate kwenye axis yake.