At Mlimani City...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam,
Leo lucchese nikasema ngoja nitoke huku kijijini kwetu Goba nije nishangae ulaya ya bongo kidogo. Aisee niko hapa ila I can feel the sense of not belonging maana watu wa hapa aisee nitofauti kabisa na niliowazoea kule kwetu goba. Kuna warembo wa hatari hapa, wakaka waliopendeza wako safi kimuonekano mpaka mfukoni wanaonekana wako njema ili mradi burudani tu. Mi nimekaa zangu kwenye benchi nje ya duka la voda, napata fahari ya macho. Ulaya kuzuri, lol, mchana mwema jamani!
 
ukikurupuka huko lazima ujikute out of place
hata salamu za wadada hupati...

Nimeisoma siri ya mchezo, niko nawaona hawa wamekaa sijui ndio Century cinema wanasubiri muvi aisee ni balaa. Mi nimekuja kuchungulia titles baadae nikazisake kwenye torrents!
 
ukikurupuka huko lazima ujikute out of place
hata salamu za wadada hupati...

Nimeisoma siri ya mchezo, niko nawaona hawa wamekaa sijui ndio Century cinema wanasubiri muvi aisee ni balaa. Mi nimekuja kuchungulia titles baadae nikazisake kwenye torrents!
 
Pale Mlimani city inabidi paitwe Instagram.
 
Aisee mkuu nlishaondoka pale ila nliogopa kupiga picha watu wote wasije wakajua mimi ni jogoo la shamba!

kama hujapiga picha! ukienda tena usiogope mkuu..
hivi nauli hadi hapo ni sh. ngapi?
 
wengi wakienda hapo wana jiandaa.
 
kama hujapiga picha! ukienda tena usiogope mkuu..
hivi nauli hadi hapo ni sh. ngapi?

Haina shida mkuu. Inategemea unatokea eneo gani mkuu ila huku kwetu Goba kijijini mpaka Mwenge ni sh. 900 sasa mara nyingi mi nikifika mwenge hua sipandi gari tena hadi mlimani city hua naona ni upotevu wa nauli kwaio napiga Hamza Kanoon hadi mlimani!
 

Hahahaa, we Jamaa acha vituko Bana..
 
Sina hamu na hapo kila kitu bei juu hasa kwa upande wa vyakula na vinywaji, yaani unaibiwa huku unaona live. ...

Maji ya buku jero mitaani hapo ni mbili jero, kinana ya ya mbili jero hapo tatu jero hadi nne elfu. ...

Ngoja wenye Westgate waendelee napo.!!
 
Hahahaa, nimeipenda sana hii thread na posts zake zote with no exception!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…