Askofu: Wachaga acheni kuzikana majumbani

Askofu: Wachaga acheni kuzikana majumbani

Hili ni kweli kabisa hata mm naunga mkono kauli ya askofu. Tunaharibu tu yale mashamba. Wenye akili watakuwa wamemwelewa huyu Askofu
 
Uttaratibu mzuri wa kuzikana wala sio wa makaburi au kuchoma, ni bora ingetengwa kaburi moja kubwa kwa kila sehem husika, marehem wote wakawa wanapumzishwa humo pasipo kuangalia dini, kabila wala nini.
 
Kwa kuwa Askofu ni Mchaga acha awashauri wachaga wenzake...sisi wengine tuwe wasomaji tu!

mtani unafikir ni wachaga peke yao inawahusu hii!
uuuuuuuwih uujue nikifa siku ukinimiss ukitaka kuniweke ua kaburini itabidi upandishe mgombani!mweee!
 
Lazma nizikwe kwetu, katikati mikahawa na migomba yetu...that's my origin, mambo ya kuzikana manispaa ukirudi siku ya tatu hata hujui kaburi la ndugu yako liko wapi, au mara serikali ighairi kuwa eneo linahitajika, muanze kufukua wapendwa wenu.....hamna iyo!
 
...huku tuendako tunatakiwa tutumie mashamba (vihamba ) kama collateral tuweze kupata mikopo nk...ukishaweka kaburi huwezi tena kulitumia kwa madhumuni hayo...

Interesting indeed. Kweli kwa sasa vihamba bado havijawa commercialised.

Wachaga wengi hawauzi vihamba vyao kwa watu ambao siyo wachaga.

Sidhani hata kama mchaga wa Kibosho anaweza kumwuzia mchaga wa Kirua sehemu ya kihamba chake.

Hii imechangia kwa wasio wachaga kushindwa kumiliki ardhi maeneo ya uchagani japokuwa wachaga wanamiliki ardhi mpaka Marekani.

Pia vihamba badala ya kumilikiwa customarily inabidi visajiliwe na kupewa vyeti?
 
Namna nyingine ni kuchimba chini ya ardhi kama futi 50 na kutengeneza pango la kuzikana huko.
Ardhi yote ya juu inabakia kwa kilimo na ujenzi wa nyumba
 
Askofu hamnazo kabisa ... seem si mkaz hals wa Moshi na amesahau the real purpose of person life hapa duniani!!Kama angekuwa timamu basi angeshaur maiti wapelekewe carnivores na si hzo bla bla zake zszo na kicha wala miguu!!Mwisho wa yote, although ni watu wachache sana wanazkwa nyumbani bt its part n' parcel of our culture ...
 
Mimi mchaga piwaaaaa
Nai support idea ya askofu 100% kwasababu sioni sababu yoyote ya kuwazika ndugu nyumbani ni kuongeza mazingira ya wafiwa kuendelea kuhuzunika, kuendelea kuwatenga watoto wa kike kwa kuwazika katika mipaka, kuendeleza matambiko ya kwenye makaburi ambayo ni kinyume na Mungu tunaemwadu nk Ni bora kuwazika katika makaburi yaliyotengwa.

Ila sasa kuna kazi ya ziada ya kuwashawisho hao wazee wa kichaga huko milimani kiruuuuu



Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Shem, to be objective hili wazo ni zuri na linaelekea kuchelewa... Nashauri maaskofu wengine akiwemo askofu wangu Isaack Amani wa RC waone hiliwazo kuwa la busara na kulifanyia kazi ipasavyo kwani sio kukosa mashamba tu bali hata thamani ya shamba likishakuwa na kaburi inashuka...huku tuendako tunatakiwa tutumie mashamba (vihamba ) kama collateral tuweze kupata mikopo nk...ukishaweka kaburi huwezi tena kulitumia kwa madhumuni hayo....so Naunga mkono hoja asilimia mia!

Mkirua kula like kaka, alafu Mentor sijaona comment yako msacha oko

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kiruuuu! Aaah wapi...lazima nizikwe kwetu...aanze yeye kwanza kuzikwa kwa vyasaka!
 
Mkuu labda ungeweka kisingizio cha mila ndio ungeeleweka, hilo la sukari sio mfano wa kulinganisha na ardhi.

Ukweli ni kwamba ardhi kama ina makaburi ndani yake thamani yake inashuka tremendously. Wakati wa kupima viwanja maeneo yenye makaburi huwa yanaachwa. Kuna baadhi ya makabila, mfano nimeona usukumani nao wanazika humo vizimbani lakini wanapolazimika kuuza shamba wanaitana ukoo mzima wanakunywa pombe na kuchimba makaburi yao wanaenda kuzika ile mifupa sehemu nyingine.
Kwa utamaduni wa zamani wakati watu wako wachache na ardhi ni kubwa hii ilikuwa nzuri, but kwa hivi sasa wakati watu tumekuwa wengi hii itasababisha maeneo mengi yatakapouzwa mnunuzi anatoa msalaba na kujenga BAR au DANGURO kwa juu yake. But kama angezikwa maeneo ya public huko kuna public interest too.

Sidhani kama nimekuelewa

Labda unieleweshe kitu kimoja. Hayo makabri ya public yatakuwa hewani au ardhi hiyo hiyo???!!!!
Kwani mpaka sasa si wanazika kwenye ardhi yao sasa unaposema mnunuzi akija unamaanisha watapokonywa na kupewa wengine au!!!??
 
Hii si rocket science.

Ndio maana nashindwa kukuelewa unapounga mkono hoja ya namna hii!!!!
Watu wanazikana kwenye eneo la familia ambalo wameamua kulitumia kwa sababu hizo wewe unaanzaje kusema hayo maneno au kuna mtu amezikwa kwa watu???!!!

Au makaburi ya jumla watazikwa wima kupunguza ukubwa wa kaburi???!!!!
 
kereeeuuwih! Mkirua na Nicas Mtei hebu kujeni pande hizi waume zangu!
sasa zile vihamba na boma zikae bila misalaba na yale mawe kweli itakuwa ni mgombani au dasalama?


@emt kwanza bora umesema mimi kila nikiwaza the fact kuwa nikifa nitazikwa mgombani inaniuma uue!yani kweli si ndo mwisho wa ndugu zangu k kuona kaburi langu!?watakfunga safari kweli all the way kutoka songea waje waone kaburi rombo!
chaaaaaaaa!
Hahahahaha huishi vituko
 
Back
Top Bottom