akili za kushikuwa, angewaambia wawe wanachoma moto maiti ningemwelewa hata hivyo tanzania hatuba uhaba wa aridhi hata kidogo leo hii kunasehemu heka moja 50000 wakati kuna watu anaingia bar anateketeza na zaidi ndani ya siku moja..
This is an attack on our culture, customs and tradition ... ye anafikiri kila mtu ana sifa za kuzikwa nyumbani ... hell NO. Mara nyingi, mwenye eneo mme/mke ndio hupewa heshima hiyo and I believe they deserve it big time.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.