Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
Hapana aiseee.
Aisee babaangu ehhh swala la kuharibu mashamba sikubaliani nalo maana hata likitengwa eneo la kuzikia kila mtu bado ni ardhi itakayotumika. Kuchoma ndio alternative ya ku-save ardhi.
Alafu mi mwenyewe nataka siku nikifa nizikwe pale mgombani karibu kabisa na bibi yangu. Mambo yakuzikwa mjini, watu kutembelea kaburi lako na kusafisha hata kidogo tu linakuwa historia.
Nnachopendea kuzikana mgombani ni kwamba kumbukumbu yako inaishi zaidi ya aliyezikwa mbali na kusafisha/kukarabati kunakuwa kwenye ratiba, sio
jambo la kupanga.