ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
Acha aseme ni haki yake, kama ambavyo akina mgogo,Lusekelo,kakobe,akina shekhe Mussa,na wengine wanavyotoa maoni yao kwa nyakati tofauti...Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Mtu akiwa na maoni tofauti anashambuliwa na kudhihakiwa,na kuhimiza aanzishe chama cha siasa,au agombee...
Lakini akisifia anapepelewa na kuonekana mtu mzuri tu na kugawiwa ubunge wa bure...
Mfano Harmoniza ameimba siasa kusifia,kuanzia state house mpaka chamanj ni full shangwe.. lakini Roma ameimba siasa kwa kukosoa kaambiwa hana digrii,sijui aanzishe chama n.k...
Siasa za kiafrika hovyo kabisaaa