Askofu Stephen Munga: Hatuwezi Kufungwa Midomo Kisa Maendeleo

Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
Crap from a hopeless mind.
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Tusipofungwa midomo kwa sababu za maendeleo tutafungwa kwa ajili ya nini Sasa? Ni lini mdomo uliwahi kumtibu mtu? Ni lini haki za binadamu zilimsomesha mtoto shule ya msingi hadi kidato cha nne bure, Ni lini Uhuru wa kujieleza ulijenga kipande cha lami, sulikumbuki demokrasia iliwahi kumuonya mwizi,

Ifike wakati mfunge mabakuli yenu muache Mh. Atutengenezee Tanzania kwa ajili ya Watanzania.
 
Mkuu imenilazimu kuchangia ila sitachangia kisiasa! Ila ninapenda kukushauri kutopenda siasa kupita kiasi, kiasi kwamba inakufanya unakashifu ama kuwakejeli watz wenzako! Hivi unaposema Tanga wanapenda kujipodoa na wanawake... huoni unawakosea sana watanga? With due respect mkuu acha hizo! Mimi ni Mangi ndugu zangu hawa huwa ninawapita kuelekea nyumbani lakini kamwe siwezi kuwaeleza hayo maneno!
Kateleza huyo, kashachutama tayari
 
Jikite kwenye mada wapi amesema anataka kugombea urais? Au umeumizwa sana na ukweli mchungu.
achana ha huyu mkuu pilipili imemwingia bahati mbaya kwenye njia ya haja kubwa

Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
 
Hueleweki....!!

Wahoji kitu gani wakati maoni uyaonayo na kuyasoma kwenye social medias ikiwemo JF ndiyo hayo hayo ya waumini wa Askofu huyu na wale wanaofanana naye....!???

Waumini tunataka kusikia hiki alichokisema Askofu na katika hili hakika hatuna cha kuhoji bali tunasema, MESSAGE SENT.....

Kwa maoni yangu, nadhani sisi waumini tunapaswa kuwahoji hao wengine wanaojiita wachungaji, wainjilisti, maaskofu, mashekhe, mitume na manabii waliofunga midomo yao huku wakiona kabisa jinsi haki za kiraia zikikanyagwa na watawala uchwara....!!

Tupo pamoja mpaka hapo? Umeelewa??
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Kama wapumbavu wengine wanavyoshindwa kuhoji udhalimu ufanywao na dola, ingekuwa utawala huu unahojiwa udhalimu uufanyao kwa raia basi hata wale wajinga wasioelewa kitu wangefunguka macho.
Every citizen is entitled to his/her opinion, kutofautiana maoni na mitazamo ni kawaida na si uadui.
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
Yani hiki ndio umeamua umjibu?aibuuuuuu
 
Atakapowageuka kama alivyowageuka Askofu Gwajima na Kakobe sijui mtakimbilia wapi. Aliyewapa jina la nyumb alifikiri mbali sana na anapashwa kupewa tuzo!
Huyu anajitambua,hao unaosema ni wapigaji tu, hayo masinagogi ya ni kama kampuni tu,ni watu wa kuangalia fursa na si Watumishi.
 
Nyinyi wenye akili za kuvukia barabara Askofu Gwajima yuko wapi amechukua pesa zenu za sadaka akawacha solemba kila alipokuwa akitangaza kuwa atatoa udaku mnakimbilia kanisani kwake anawalisha pumba then mnatoka pale viroho kwatuuu... sasa mmehamia kwa huyo nawashauri kila akiwa anahutubia mwende mkajazani kanisani kwake awatoze sadaka wee then kwishney!!
Wewe pimbi kweli kweli huyo king of kwichi kwichi huo uaskofu kajipachika mwenyewe. Ni wapuuzi Tu kama wewe wanaoweza kumuamini.
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.

Wa kaskazini lakini, is not a gen thing, inabidi wote wewe wamejipanga
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Huu ni uchuro mtupu kwani nani kawafunga midomo mnatafuta kiki za kitoto. Unaongea ili uozo mtupu we hubiri upendo acha kuchochea chuki. Heshimu mamlaka. Ushindwe kwa jina la Yesu
 
Back
Top Bottom