Ulitafiti na ubora wa huduma? Je unayo mifano yenye ushahidi?Toka wabanwe kwenye hospital yao ya KCMC ikiwemo mapato kupungua baada ya serikali kuwabana kwenye gharama kubwa za matibabu na kuongeza vituo vya afya vya kutosha wamekuwa wakali sana.
Rais alipokutana na viongozi wa dini kuna mmoja wa kkkt kutoka huko alilalamika kitendo cha serikali kujenga vituo vya afya maeneo ambayo wao wanatoa huduma. Rais akawaambia tatizo lao wanatoza gharama kubwa za matibabu ikiwemo ubadhirifu.
Rais akasema serikali inawapa ruzuku na kuwalipa madaktari ila wao gharama zao zipo juu.
Wana mengi sana hao wafanyabiashara maaskofu. Nao ni waathirika wa serikali wa awamu ya tano.