Askofu Stephen Munga: Hatuwezi Kufungwa Midomo Kisa Maendeleo

Askofu Stephen Munga: Hatuwezi Kufungwa Midomo Kisa Maendeleo

Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Kwani Jukwaani huwa wanasiasa wanapotoa ahadi za uongo wanahojiwa?
Hayo ni maoni yake tatizo liko wapi?
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Tuliza mshono usifumuke tena mama
 
Askofu wa Tanga huyo .Tanga wanapenda kuchonga midomo na wanawake kujipodoa kuliko maerndeleo.Asilimia kubwa ya watu wa Tanga Ukiona kasoma Ni fundi baskeli,fundi wa kutengeneza koroboi,kuziba mapipa yaliyochakaa na sufuria zilizotoboka na kutengeneza majiko ya kupikia na ushonaji

Dayosisi yake ndio inaoongoza kwa kuwa na mapato kidogo kuliko dayosisi yoyote ya KKKT sababu kwao Maendeleo sio kiti Cha maana hivyo kufanya waumini wasiwe na uwezo mkibwa wa kutoa sadaka sababu hata askofu anaona chammuhimu.kuchonga mdomo kuongelea vitu visivyohusiana na maendeleo
Mbona umeleta maneno meengi Hata yasiyohusiana na mada?
 
Acha madharau kwa Binadamu wenzio we we.

Watu wa Tanga walishawahi kuja kukuomba chakula kwako?

Umeshawasaidia nini?
 
Tusipofungwa midomo kwa sababu za maendeleo tutafungwa kwa ajili ya nini Sasa? Ni lini mdomo uliwahi kumtibu mtu? Ni lini haki za binadamu zilimsomesha mtoto shule ya msingi hadi kidato cha nne bure, Ni lini Uhuru wa kujieleza ulijenga kipande cha lami, sulikumbuki demokrasia iliwahi kumuonya mwizi,

Ifike wakati mfunge mabakuli yenu muache Mh. Atutengenezee Tanzania kwa ajili ya Watanzania.
Mtu aliyeshindwa kuajiri miaka minne,aliyeshindwa kupandisha watu madaraja miaka minne,aliyevuruga uchumi biashara zikafungwa ,mtu anayebambikia watu kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha ,mtu aliyeharibu mzunguko wa fedha na kuwabambikiza watanzania umaskini wa kutupa hawana uwezo wa kula hata mlo mmoja kwa sababu yake ,nakuuliza Magufuri anaongoza watu au vitu ?Watanzania watakula hiyo miradi we pimbi ,elimu bure we mtoto haijaanza Leo hata huyo Magufuri hajamfikia Nyerere alichofanya elimu bure ,vitabu ,daftari ,kalamu vyote bure ,sio hii yenu ya maigizo .Kwa kukusaidia kiongozi mzuri ni yule anayeboresha maisha ya anaowaongoza sio kuboresha vitu kijana ili apate teni pasenti.
 
Askofu mkuu wa kanisa la kkkt dayosisi ya kaskazini mashariki amesema kuwa watanzania hatuwezi Kufungwa midomo ya kutetea haki za binadamu, demokrasia na utawala bora, kisa kuna mtu anasema analeta maendeleo. Ameyasema hayo katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini. Ambapo ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini ilijadiliwa. Bila woga wala kupepesa macho askofu Munga katoa maoni yake hayo ili hali hivi sasa viongozi wengi wa dini wamefunga midomo yao. Napenda nimpongeze baba askofu kwa kusimamia ukweli, Mungu ambariki sana.
Hawa wakatoliki tangu wawe na vimada akili yote imehamia kwenye lile tunda la Eden
 
Mtu aliyeshindwa kuajiri miaka minne,aliyeshindwa kupandisha watu madaraja miaka minne,aliyevuruga uchumi biashara zikafungwa ,mtu anayebambikia watu kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha ,mtu aliyeharibu mzunguko wa fedha na kuwabambikiza watanzania umaskini wa kutupa hawana uwezo wa kula hata mlo mmoja kwa sababu yake ,nakuuliza Magufuri anaongoza watu au vitu ?Watanzania watakula hiyo miradi we pimbi ,elimu bure we mtoto haijaanza Leo hata huyo Magufuri hajamfikia Nyerere alichofanya elimu bure ,vitabu ,daftari ,kalamu sio hii yenu ya maigizo .Kwa kukusaidia kiongozi mzuri ni yule anayeboresha maisha ya anaowaongoza sio kubiresha vitu kijana I'll apate teni pasenti.
Ulitaka awapandishe madaraja wafanyakazi hewa? Wenye vyeti? Au ulitaka wapandishwe cheo walioajiriwa kwasababu ya ushemeji na ujomba?

Bahati nzuri nami niliifaidi MEMKWA lakini jiulize ilipotelea wapi? Sasa amekuja kutoa elemu bila malipo, bado mnasema Nyerere alikua Bora, tatizo hakuna aliyemlinganisha na Nyerere na hata Kama hiyo ingekua ndio kesi tatizo liko wapi kufanya analitical comparison.
 
Huyu Mzee anaitendea haki PhD yake sio kama wale wa kuokotwa majalalani.
Duh
IMG_20191122_042819_398.jpeg
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Na wanasiasa (watawala) wanajivunia ujinga wa wananchi na wanachama wao kutokohoji chochote. Wangeamua kuhoji matumizi yasiyo ya uwazi na ya kufuja ya kodi zao hakika wanasiasa wengi wangekuwa keko au segerea
 
Huu ni uchuro mtupu kwani nani kawafunga midomo mnatafuta kiki za kitoto. Unaongea ili uozo mtupu we hubiri upendo acha kuchochea chuki. Heshimu mamlaka. Ushindwe kwa jina la Yesu
Ashindwe anayeteka ,anayeua,anayefunga watu kwenye viroba,anayepeleka wakosoaji wake gereza la mukamira,anayesingizia watu kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha ndio ashindwe kwa jina la yesu amen.
 
tumefikia wakati muafaka, hii ndo shida ya kuchanganya dini na siasa, viongoz weng wa dini wamekubali kuingia kwenye siasa ili kutafuta ulinzi au kuchumia tumbo ila watambue Mnyama mwitu (serikali) ANA nguvu za kumteketeza viongoz wa dini (kahaba) ambao wanapenda kuingia ndan ya siasa bila kujua mipaka yao.
Time will tell us
 
Akitaka agombee na yeye awe rais. Hawa wanajivunia ujinga wa waumini kutohoji chochote. Laiti kama waumini wangekuwa wanahoji na kuwabana huko makanisani basi wangewafungia waumini wengi sana ama wangekimbiwa na waumini wengi tu.
Acheni kukufuru bwana, yani watu wasiongee utafikiri tunatawaliwa na malaika Michael, mbona hata Trump anasakamwa vile ina maana yeye sio rais.

Watu mmezidi mno upumbavu utafikiri hii nchi leo ndio imepata uhuru na kupata rais wa kwanza. Bogus sana.
 
Back
Top Bottom